Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
- Thread starter
- #81
Vya Ulanzi?Taja viwanda vitano vinavyomilikiwa na wakinga ambavyo ni tegemezi hapa Tanzania
Vya Ulanzi?Taja viwanda vitano vinavyomilikiwa na wakinga ambavyo ni tegemezi hapa Tanzania
Kilimanjaro na Arusha kuna nini cha maana huko zaidi tu ya ule mlima na vimbuga vya wanyama viwili vitatu, basiNipo iringa na nina kiwanja , wewe kama mkinga una nini Kilimanjaro na arusha?
Bado mashamba ya mkonge , hayo ni zaidi ya mdogi wa dhahabu, watu wametulia na machimbo yao wanapiga pesa ila kuna watu wanataka kakabanane huko chunya kuuuza mkaa tenaVya Ulanzi?
Shikamoo morioMlaki, tena usikose kikao cha ukoo mwaka huu, Marangu mtoni pale.
Wewe acha bato za kishamba , wakinga hata hatuna utani nao acha kufosi mambo mshamba wewe 🚮Kilimanjaro na Arusha kuna nini cha maana huko zaidi tu ya ule mlima na vimbuga vya wanyama viwili vitatu, basi
Kilimanjaro na Arusha kuna nini cha maana huko zaidi tu ya ule mlima na vimbuga vya wanyama viwili vitatu, basi
Njombe ndio mkoa unaoongoza kwa makazi bora, mpaka vijijini ndani ndani hakuna nyumba ya udongo.Nyumba ni za bati na matofali. Arusha nimekaa, Nyumba za udongo mpaka katikati ya mji, matejoo, sanawari , unga ltd zipo za kutosha ,Moshi ndio usiseme hapo mjini kwa vibaka Pasua, Njoro nyumba za udongo za kutoshaTafiti hiyo amefanya nani tukaisome. ?
Tungeona maendeleo kule Njombe. Kila siku mkuu wa mkoa Mtaka, analalamika juu ya makazi duni na mambo kama hayo. Imani za kishirikina ndio zimetawala
Mwongezee hill water, KPI,Hata 50 vinafika
Nani ana utani na nyie?? Wakinga ni watu peace sana, watani zetu ni wahehe na wabenaWewe acha bato za kishamba , wakinga hata hatuna utani nao acha kufosi mambo mshamba wewe 🚮
Njombe hii hii ya matofali ya kuchoma 🤔Njombe ndio mkoa unaoongoza kwa makazi bora, mpaka vijijini ndani ndani hakuna nyumba ya udongo.Nyumba ni za bati na matofali. Arusha nimekaa, Nyumba za udongo mpaka katikati ya mji, matejoo, sanawari , unga ltd zipo za kutosha ,Moshi ndio usiseme hapo mjini kwa vibaka Pasua, Njoro nyumba za udongo za kutosha
Njombe ndio mkoa unaoongoza kwa makazi bora, mpaka vijijini ndani ndani hakuna nyumba ya udongo.Nyumba ni za bati na matofali. Arusha nimekaa, Nyumba za udongo mpaka katikati ya mji, matejoo, sanawari , unga ltd zipo za kutosha ,Moshi ndio usiseme hapo mjini kwa vibaka Pasua, Njoro nyumba za udongo za kutosha
[/QUOT
Wewe Wachagga kwao Kilimanjaro je mnafikia kwa Nyumba bora na maendeleo vijijini.
Njombe kuna ghorofa ngapi.
Wakinga ndio wanairun Dar sasa hivi, Magorofa yote yanayojengwa mjini ni ya wakingaWewe acha bato za kishamba , wakinga hata hatuna utani nao acha kufosi mambo mshamba wewe 🚮
Wakinga ndio wanairun Dar sasa hivi, Magorofa yote yanayojengwa mjini ni ya wakinga
Acha kutukana makabila ya watu weweTatizo siku hizi wachaga wamekuwa mashoga.Juzi kuna moja limekamatwa linawaingilia wanaume kinyume.Wakienda huko wataeneza ushoga tu
Tofautotisha nyumba ya udongo, na nyumba ya matofali ya kuchoma. Tofali za kuchoma ni imara kusjinda hizo za mchanga na sementiNjombe hii hii ya matofali ya kuchoma 🤔
Nenda Kariakoo pale, angalia magorofa yanayojengwa, ulizia mmiliki, utaelewaKwa takwimu zipi mzee?
Tanzanite imeshaisha jamaa, hakuna kitu yamebaki mashimo tu kuleUtalii unaingiza mabilioni yakutosha na unaleta mnyororo wa thamani hata kwenye mazao ya chakula.
Bado madini ya Tanzanite madini pekee duniani.
Ni hii serikali ndio haina mipango thabiti, tungekuwa mbali sana.