Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
AseehTofautotisha nyumba ya udongo, na nyumba ya matofali ya kuchoma. Tofali za kuchoma ni imara kusjinda hizo za mchanga na sementi
AseehTofautotisha nyumba ya udongo, na nyumba ya matofali ya kuchoma. Tofali za kuchoma ni imara kusjinda hizo za mchanga na sementi
Watawezeshana kama wafanyavyo duniani kote.Wataenda kuchimba hayo madini na meno ama mikono?
Juzi tu hapa mtu ANANIAMBIA kwa Sasa hata ukiwa na milioni 40 haitoshi kuanza biashara ya uchimbaji madini...
Labda angalau uwe broker
Usichokijua ni kwamba Kilimo Cha kahawa ndio kimewaweka wachaga kwenye ramaniMchagga anajua KUUZA BAR, KITIMOTO na MADUKA.
Umewahi kumuona Mchagga kwenye KAZI kama UVUVI, KILIMO na MADINI??
Kwasbaabu Wakoloni waliwapa elimu zamani, mkaitumia kupata NAFASI za serikali na kujipendelea, hizo zama zimekwisha.
Siku hizi mpaka MASAI amekwenda SHULE na anaijua PESA.
Utoto wewe la kwako lipo wap?Wakinga ndio wanairun Dar sasa hivi, Magorofa yote yanayojengwa mjini ni ya wakinga
Ah..ah..dawa unayoitumia unafanya kazi haraka sana aiseeMlaki, tena usikose kikao cha ukoo mwaka huu, Marangu mtoni pale.
Achana na mjuvi asiyejuaUsichokijua ni kwamba Kilimo Cha kahawa ndio kimewaweka wachaga kwenye ramani
Ni kupitia kahawa ndio mashule yalijengwa watu wakasomeshwa Biashara zikafunguliwa sasa sijui unaongelea kilimo gani
Punguza utoto, utafute na zako sasaNani ana utani na nyie?? Wakinga ni watu peace sana, watani zetu ni wahehe na wabena
Kahawa na migomba ndio yeye amezilima Kilimanjaro na ArushaUsichokijua ni kwamba Kilimo Cha kahawa ndio kimewaweka wachaga kwenye ramani
Ni kupitia kahawa ndio mashule yalijengwa watu wakasomeshwa Biashara zikafunguliwa sasa sijui unaongelea kilimo gani
Viwanda vipo kibao mpaka Nairobi vimejaaMwongezee hill water, KPI,
Wapo Nairobi na mombasa ambapo nauli haizidi hata 20k wewe kwanini unataka wawepo tunduma?Nilitaka kukujulisha tu kuna sehemu wachaga hawapo, mfano boda yenye biashara kubwa kupita zote ni Tunduma,na wakinga wameitawala yote, hakuna wachaga kule
Nashukuru sana, mimi nilikuwa huko miaka kama miwili nyuma, kule Tandahimba na Nanjilinji kwenye ufuta ila kwa mwaka huu nimekula mtaji mkuu siwezi kununua hata robo gunia.Hahaha..........ni obviously ilikuwa mwaka 47 😅
Karibu Korosho huku Kusini
Umeunywea pombe nini mkuu?Nashukuru sana, mimi nilikuwa huko miaka kama miwili nyuma, kule Tandahimba na Nanjilinji kwenye ufuta ila kwa mwaka huu nimekula mtaji mkuu siwezi kununua hata robo gunia.
Sinywi hizo vitu mkuu, ni katika mapito tu.Umeunywea pombe nini mkuu?
Pole sana mkuu, utarudi tuSinywi hizo vitu mkuu, ni katika mapito tu.
Wizi wa wapi? Nani kaibiwa inasemekana ni mchaga?Wachaga kitu wanachokifanya kwa ufanisi ni wizi tu. Huko kwingine wanazuga tu.
Unauliza makofi polisi?Wizi wa wapi? Nani kaibiwa inasemekana ni mchaga?
Wapi waliiba ? Au umekariri propaganda za mwaka 60 mpaka leo unaishi nazoUnauliza makofi polisi?
Naona kilichofanya umaarufu wa kabila la kichaga upae sana sana ni Reginald Mengi, labda na kijijini kwao asilimia kubwa kuna maji, umeme, shule na hospital, ukilinganisha na vijiji vingine vya Tanzania, vinginevyo wachaga ni kama makabila mengine tu wajanja wachache wajinga wengi.. Vishu MtataWachaga walikua zamani aisee, saivi kizazi kielevu cha kichaga ndio kinaishiaishia hivo.
Kahawa ni kilimo cha mara moja.Usichokijua ni kwamba Kilimo Cha kahawa ndio kimewaweka wachaga kwenye ramani
Ni kupitia kahawa ndio mashule yalijengwa watu wakasomeshwa Biashara zikafunguliwa sasa sijui unaongelea kilimo gani