Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Ukatembelee na huko kwao uchagani nafikiri utapata jibu lako
hilo suala lina historia ndefu sana ni kama wakati ule wahaya Vs wasukuma kwenye elimu ila sasa Kibao kinageuka kwa kasi sana....na huku kwetu kusini ilikuwa wamakua ndio walikuwa wasomi kuliko wamakonde ila sasa Kibao kishageuka tayari....miji kama newala,mtwara,masasi,tunduru,nachingwea wafanyabiashara wakubwa (wachuuzi)walikuwa wachaga na wahindi nk ila sasa Kibao kishageuka kwa kasi sana...ukija Sekta ya usafirishaji wachaga wakina solo ndio waliiteka kusini ila wahuni washawakimbiza imebaki historia tu....Na tuache kudanganyana humu eti wachaga wana viwanda kama mnavyokuza naamini hata nikitembelea kila kaya ndani ya wilaya mzima ya arumeru nitakuta made in china tupu
 
Unatumia ngumu kubwa sna , ila vitu vipo wazi , ushauri mdogo tu, chapa kazi tafuta na wewe za kwako wivu utakupasua nyongo tu
 
Nashukuru sana, mimi nilikuwa huko miaka kama miwili nyuma, kule Tandahimba na Nanjilinji kwenye ufuta ila kwa mwaka huu nimekula mtaji mkuu siwezi kununua hata robo gunia.
Pole Mkuu

Itakuwa ulinogewa na viuno vya mabinti zetu wa kimakonde sio 🤪

Jipange Urudi tena, kuanguka na kusimama ni sehemu ya maisha yetu Wanaume
 
Sasa unataka kuwapeleka wachaga kwenye madini, kwani huko kuna magodown ya kuvunja na kuiba?? maana ukiona duka la mangi ni mchana, ila usiku yuko kwenye kuvunja magodown 😀 😀 😀 😀 😎
Huenda ilikuwa hivyo zamani, sasa ni kuchimba na kuwekeza soko la hisa, wengine ndio tubaki kwenye bodaboda na umachinga.
 
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?
Nawakubari sana Wachaga ila sio Wanawake nawakubari Wanaume tu sababu hawanaga mbangamingi ni hivi na vile ni huku na kule maisha yanasonga wanangu wa Chuoni wengi walikua ni Wachaga kiasi kwamba watu wakadhani na mimi ni mchaga kumbe hakuna hio, nimewasikia watu wanasemaga usipige mbishe na mchaga atakuzingua nishaonywa sana ila sitaki kuamini
 
Back
Top Bottom