Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Kwa nini iwe tajiri wa huko njombe awe mchaga? Binafsi nimenunua mashamba kibao njombe na nina rafiki zangu kibao wana hekari za kutosha za miti
Ndio maana nakuambia wafanyabiashara wakubwa mikoa ya kusini Njombe, Mbeya ni wakinga, wametawala kote hakuna mchaga, au kabila lengine wanaoweza kushindana nao
 
Wakinga ndio wananunua magorofa kariakoo sasa hivi, ndio wafanyabiashara wakubwa Dar, kwa taarifa tu

Wakubwa ukilinganisha na nani.
Wakinga hivi mnafika hata millioni moja. Nyie mshindane na Waha. Wachagga sisi kwa sasa hatupo level ya Tanzania tena tunashindana kimataifa na Wakikuyu na Waigbo
 
Wakubwa ukilinganisha na nani.
Wakinga hivi mnafika hata millioni moja. Nyie mshindane na Waha. Wachagga sisi kwa hatupo level ya Tanzania tena tunashindana kimataifa na Wakikuyu na Waigbo
Wakinga ndio wafanyabiashara wakubwa sasa hivi Dar, hao wachaga ilikuwa zamani, sasa hivi hawana ubavu wa kushindana na wakinga.
 
Miti ya mbao sio potential? Unajua ekari moja ya miti ukivuna unapata sh.ngapi? Hakuna biashara ina pesa kama miti ya mbao

Na elewa sana sasa nilazima tajiri wa
kichagga aishi Njombe ndio awe na shamba la miti au biashara ya mbao ?
Hawezi kuwa navyo na akawa naishi Dar au Arusha.

Nilikujibu swali lako ulilouliza nikutajie tajiri Mchagga anayeishi Njombe.
 
Kwa nini huko kusini mbeya wachaga watajwe na sio wenyewe wa huko , wewe kwanini unaona wachaga walipaswa kutajirika huko kusini kwenu?
Nilitaka kukujulisha tu kuna sehemu wachaga hawapo, mfano boda yenye biashara kubwa kupita zote ni Tunduma,na wakinga wameitawala yote, hakuna wachaga kule
 
Wakinga ndio wafanyabiashara wakubwa sasa hivi Dar, hao wachaga ilikuwa zamani, sasa hivi hawana ubavu wa kushindana na wakinga.
Unahesabu pale kariakoo tu, WAchaga wameingia biashara kubwa, kampuni kubwa. Binafsi binti yangu akiniletea kijana wa kichaga hata mahari siombi. Najua hatolala njaa.
 
Wakinga ndio wafanyabiashara wakubwa sasa hivi Dar, hao wachaga ilikuwa zamani, sasa hivi hawana ubavu wa kushindana na wakinga.

Tafiti hiyo amefanya nani tukaisome. ?

Tungeona maendeleo kule Njombe. Kila siku mkuu wa mkoa Mtaka, analalamika juu ya makazi duni na mambo kama hayo. Imani za kishirikina ndio zimetawala
 
Back
Top Bottom