sabasita ni wa morogoro huyualiyejemga kaburi maarufu anaitwa Sabasita ni askari wa muda mrefu nchini kikosi maalum unajua kazi aliyoifanya mpaka sasa nadhani amefanya vyema maana anajua aliyoyafanya
hivi huyo ni sabasita?Enzi zake alifanya nini mkuu kibaya akiwa huko morogoro polisi?.
binafsi nimeipenda!Kwani inatofauti gani na kulipia eneo kwa ajili ya kaburi pale utakapokufa kama alivyofanya gavana mstaafu wa BOT? Au kama ilivyo USA.. ni maandalizi kuepusha kero kwa wanaobaki!
sabasita ni wa morogoro huyu
Hapo sijaelewa Mkuuz Sabasita ndio baba yake tunda aliezaa na whozu?Hapana ni wa moshi baba yake Tunda aliyezaa na Whozu.
Kuchimba shimo la kuzikwa na kulije gea haikuanza leo kuna bwana 1 kule mkoani kagera wilaya muleba kata tarafa kamachumu kijiji bushagala huyu bwana jina lake alikuwa akiitwa birunduli ukiwa unaenda ndorage ukipita kamirabala mbele kidogo kuna kijumba cha ghorofa 1 huyu bwana alichimba shimo(kabiri)akiwa bado yuko hai miaka ya 1970Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro.
Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake.
Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo akiwa na akili timamu bila kushinikizwa, lakini bado, kwa baadhi jambo hilo kwao linatia ukakasi.
Anasema, 'nilionja machungu baada ya kuandaa mazishi ya wazazi wangu'
Baadhi wanalichukulia kama uchuro kwa misingi kwamba linaweza kuleta kisirani katika familia.
Hatua hii ya Bwana Kimaro imewashangaza wengi, ndani ya kijiji chake na nje ya mipaka ya kijiji hicho. Kwa sababu sio jambo lililozoeleka katika jamii ya kiafrika hasa jamii ya kichagga anayotoka Kimaro.
Source: BBC
Wote tuwe na mentality ya huyu Iko siku tutakufa tungelijua Hilo tuHuyu Mwamba ana Stress za matukio aliyokuwa anafanya "enzi zake" zile..
Hapo sijaelewa Mkuuz Sabasita ndio baba yake tunda aliezaa na whozu?
Huyo kwenye video ndio yeye?!
Ndio ni baba halal wa tunda,miaka flani alitutaabisha sana arusha,baadae akaamishiwa Morogoro...I meant Tunda mzazi mwenzie na Whozu ni mtoto wa mzee sabasita
Sioni ubaya wowote. Inawezekana wanafanya hivyo kwa sababu pia Wakristu wengi ni Wakristu. Kumbuka Yesu Kristu alizikwa kwenye kaburi lililokuwa limeandaliwa kitambo kwa ajili ya kumzika Yosef wa Armathayo. Ilikuwa kawaida kabisa kwa Wayahudi wenye uwezo kuandaa makaburi yao siku nyingi kabla hawajafa.
Mimi binafsi naona ni jambo zuri maana linaondoa usumbufu kwa ndugu kuja kuandaa kaburi ukishakufa.
Makaburi yanayochimbwa ukishakufa mara nyingi yanachimbwa na watu huku wanakunywa konyagi au wanavuta bangi. Ni heri kujiandalia mkazi yako ya milele mapema ikiwezekana
Hongera sana Patrick Kimaro nawasihi na wengine waige huu mfano
[/QUOTE
Naunga mkono, kujiandaa ni pamoja na kuandaa sehemu ya mwisho ya Safari yako.
Peno hiyo story mbona haina uelewano na mada?Tanzanian Amputees need our help - Douglas Bader Foundation
Tanzanian amputees need our help to obtain prosthetic limbs which will enable them to perform simple necessary tasks we may take for granted.www.douglasbaderfoundation.com
Mtu kaamua kujiandalia udongo wake kosa liko wapi??Ni ulimbukeni tu, labda kuyumba kwa dishi, hiyo pesa iliyotumika angewaachia wengine waendelee na maisha. Tulizaliwa watupu na tutarudi udongoni watupu.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app