whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Ukitaka kujua Moshi kuna watu njoo mwezi huu, mitaa inameremeta kama maua.
Huu utamaduni unaashiria wachaga ni kabila lenye upendo na mshikamano, na pesa ipo pia.
Kipindi nasoma same boys watu wa kanda ya ziwa walikuwa hawaendi makwao likizo wanajibana kwa watu, kuja kuchunguza ndo nikaambiwa kumbe familia nyingi huko hawapendani na pia makazi ni taabu.
Ngoja tuendelee kupambana na pilau, mbegge na kitimoto.