Wachaga kwenda Moshi December ni ishara ya upendo na mshikamano

Tuna tamaduni zetu za kwenda kwetu pia ni watu tunaishi pamoja hata mijini tunapanga nyumba kubwa tuko kibao kwa ambao hawjajenga .

Kingine kurudi makwetu zaidi ya mara tatu kwa mwaka out of emergency call kama misiba ,harusi ni kawaida sana ...Tunapendana sana pamoja na wengi wetu wameoa huko huko kiasi cha kuongea kikabila hata tulipopanga japo mi sijui kikabila..kwetu ni sehemu nzuri kwa utalii na hali ya hewa sio sisi tu hata watu baki wanapapenda .

Hatunaga unafiki wala nn coz sisi wengi ni waislamu so December sio kitu kwetu wanaenda madogo kusalimia kwa bibi zao so mda wa wanafunzi kwenda kusalimia si wakubwa December sio kitu tunaenda mwezi wa 7 mwaka wa fedha wa serikali.

Hatupendi kujicompare coz tamaduni zetu zinafanana now waarabu so Kaa pembeni..kuaona shangazi kwa mjomba ni kawaida sana vyovyote kikubwa kulika nasaba yetu ...

View attachment 2458669
ww ni nani sasa?

Mbona kama umegadhibika
 
Kilimanjaro the blessed landView attachment 2459946View attachment 2459947
1671005729858.jpg
 
Ulishwahi kwenda na ukaona HATA tukio Moja la ushirikina na ukalihakiki bila shaka yoyote au watu kukaa Pamoja na kula Pamoja mwisho WA mwaka Huku tukifurahi mafanikio yetu na kuanishha changamoto tunazokutana Nazo huko porini wakati wa kutafuta! Huku tukipanga Namna kuinuana wewé unasema ni ushirikina.

Hiki ni kipindi Cha kuona tumefanya Nini ikiwemo kuboresha makazi yetu wewé unasema ushirikina!

Tunaenda kuzoa baraka kwa kukaa na wazee wetu ndugu jamaa na marfiki HATA wale walioko mikoa na nchi tofauti we unasema ushirikina!

Wahega wanasema mkataa kwao ni mtumwa . Hatuwezi kuwa watumwa!

Koma kabisa kuita Mila na tamaduni z watu ushirikina!
Kweli
 
Tuna tamaduni zetu za kwenda kwetu pia ni watu tunaishi pamoja hata mijini tunapanga nyumba kubwa tuko kibao kwa ambao hawjajenga .

Kingine kurudi makwetu zaidi ya mara tatu kwa mwaka out of emergency call kama misiba ,harusi ni kawaida sana ...Tunapendana sana pamoja na wengi wetu wameoa huko huko kiasi cha kuongea kikabila hata tulipopanga japo mi sijui kikabila..kwetu ni sehemu nzuri kwa utalii na hali ya hewa sio sisi tu hata watu baki wanapapenda .

Hatunaga unafiki wala nn coz sisi wengi ni waislamu so December sio kitu kwetu wanaenda madogo kusalimia kwa bibi zao so mda wa wanafunzi kwenda kusalimia si wakubwa December sio kitu tunaenda mwezi wa 7 mwaka wa fedha wa serikali.

Hatupendi kujicompare coz tamaduni zetu zinafanana now waarabu so Kaa pembeni..kuaona shangazi kwa mjomba ni kawaida sana vyovyote kikubwa kulika nasaba yetu ...

View attachment 2458669
Hapo ni kigoma?
 
Ukitaka kujua Moshi kuna watu njoo mwezi huu, mitaa inameremeta kama maua.

Huu utamaduni unaashiria wachaga ni kabila lenye upendo na mshikamano, na pesa ipo pia.

Kipindi nasoma same boys watu wa kanda ya ziwa walikuwa hawaendi makwao likizo wanajibana kwa watu, kuja kuchunguza ndo nikaambiwa kumbe familia nyingi huko hawapendani na pia makazi ni taabu.

Ngoja tuendelee kupambana na pilau, mbegge na kitimoto.

Nyoo kipata kimu monomao[emoji2312][emoji2312]
 
Ulishwahi kwenda na ukaona HATA tukio Moja la ushirikina na ukalihakiki bila shaka yoyote au watu kukaa Pamoja na kula Pamoja mwisho WA mwaka Huku tukifurahi mafanikio yetu na kuanishha changamoto tunazokutana Nazo huko porini wakati wa kutafuta! Huku tukipanga Namna kuinuana wewé unasema ni ushirikina.

Hiki ni kipindi Cha kuona tumefanya Nini ikiwemo kuboresha makazi yetu wewé unasema ushirikina!

Tunaenda kuzoa baraka kwa kukaa na wazee wetu ndugu jamaa na marfiki HATA wale walioko mikoa na nchi tofauti we unasema ushirikina!

Wahega wanasema mkataa kwao ni mtumwa . Hatuwezi kuwa watumwa!

Koma kabisa kuita Mila na tamaduni z watu ushirikina!

Mleo chu nekyelio nae
 
Back
Top Bottom