whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Sio sanaNa harufu ya ushirikina pia ipo.
Wanaenda kutambika
Huwa wanaenda na kupokea baraka za wazazi nduguNa harufu ya ushirikina pia ipo.
Wanaenda kutambika
Ulishwahi kwenda na ukaona HATA tukio Moja la ushirikina na ukalihakiki bila shaka yoyote au watu kukaa Pamoja na kula Pamoja mwisho WA mwaka Huku tukifurahi mafanikio yetu na kuanishha changamoto tunazokutana Nazo huko porini wakati wa kutafuta! Huku tukipanga Namna kuinuana wewé unasema ni ushirikina.Na harufu ya ushirikina pia ipo.
Wanaenda kutambika
Huyo mpuuzi hajui Mila na tamaduni zetu wakina Mangi!Huwa wanaenda na kupokea baraka za wazazi ndugu
Atuache tu na tamaduni zetu maana hatujamuingilia kwakeHuyo mpuuzi hajui Mila na tamaduni zetu wakina Mangi!
Mbuzi tu, kumchinja mahali pale pale tu, kuchinjwa na wazee wale wale tu, aina ya uchinjaji kumziba pumzi Mbuzi, tarehe ile ile tu...., unataka kujua maana yake, basi waambie wanunue nyama ya Mbuzi buchani.... akili MUKICHWA>Atuache tu na tamaduni zetu maana hatujamuingilia kwake
Huna unachokijua wewe kaa kimya.Mbuzi tu, kumchinja mahali pale pale tu, kuchinjwa na wazee wale wale tu, aina ya uchinjaji kumziba pumzi Mbuzi, tarehe ile ile tu...., unataka kujua maana yake, basi waambie wanunue nyama ya Mbuzi buchani.... akili MUKICHWA>
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mbuzi tu, kumchinja mahali pale pale tu, kuchinjwa na wazee wale wale tu, aina ya uchinjaji kumziba pumzi Mbuzi, tarehe ile ile tu...., unataka kujua maana yake, basi waambie wanunue nyama ya Mbuzi buchani.... akili MUKICHWA>
Hili nasikia ndio linabeba ukweli wote wa huo utamaduni wao...Na harufu ya ushirikina pia ipo.
Wanaenda kutambika
Mtazamo wako sio mmbaya, Suala la uchumi nalo ni kipengele muhimu sana katika safari...Ni kweli wacha linaweza kua kabila kubwa la watu wanao rudi toka mikoa mabali mabli Dec kwenda kwao...ila pia makabila mengine pia wanarudi kwao. ukitaka kuamini angalia usafiri wa mikoani kwa sasa...kila basi linajaa...huyo abood bus service safairi za moro kila baada ya dk 10 basi linatoak magufuli stand linaenda moro.. makabila mengine wanafanya hivo hivo...mfano kabila dogo kabisa wabena na wahehe..Dec wanarudi kwao..kwa wingi tu, air Tz sasa wameongeza trip za mwanza,Tabora na kigoma.
Ninacho kiona mm kwanini wachaga wanonekana ndio wengi...au wanasikika sana.
1-wachaga wengi wanapenda show off so wanasikika kwa haraka kiasi hata wapare,wameru, wote wanamezwa na kuonekana kama wote ni wachaga.uliza mtu aliepo Arusha au mwanza..ni fujo utadhani kuna world cup.
2-Mkoa wa kilimanjaro ni mdogo kwa eneo..so wengi utawakuta himo na moshi mjini tofauti na mkoa kama pwani,mbeya Iringa,Moro au Njombe ambayo kutoka makao makuu ya mkoa mpaka baadhi ya wilaya ni ziidi ya km mia so pupulation in imesambaa sana.
3-Pia wachaga kifedha wapo vema.so easily kuwa noticeable .
Mimi nipo zangu Njombe wilaya ya lupembe kijiji cha iwafi km 160 toka Njombe mjini..tatizo huku walevi sio wengi.
Bye.