Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
So mie ni mgonjwa atii πSubiri upone vizuri basi pancho boy
So mie ni mgonjwa atii π
Hii ni kwikwi mzeemamaa πKuna mkaka fulan enzi za 2005 alimtongoza mdada 1..wamefika bar akampiga kiaina block mdada aagize apendacho..akaagiza pepsi 2..wakat huo pepsi ilikua cheap kuliko coca..wamemaliza akamwambia demu nisindikize Kimara mara 1..wamepanda hiace ubungo konda anadai naul..jamaa akamwambia demu huna 300 demu akasema sina..akamqambia 100 jeππdemu akasema sina..akarudia huna ht 50ππ..ni miaka ila huwa hatusahau...hhahaha
Sawa ngoja nipone kwanzaYaliyonikuta jana sitasahau.
Jana kwangu nilikuwa nimetulia usiku saa 5, Mara ghafla nikaskia mayowe kwa jirani, majirani wote tukatoka kwenda kumsaidia mwenzetu huku tukiwa tumejihami kwa mawe, marungu na mapanga. Na tuliooingia kwake tulimkuta chatu mkubwa ajabu! Wakati tukitafakari jinsi ya kumuua usiku ule .. Mara...www.jamiiforums.com
ππππSawa ngoja nipone kwanza
Nimesahau huku sijasahau!ππππ
Ulishasahau unaumwa ama?
Nimesahau huku sijasahau!
Nilianika unga nje ghafla mvua ikanyesha mie nimelala..
Saivi niko zangu hapa na kigoda changu nakunywa zangu sijui ni uji huu!
ππππDuuuh!ππ
Umeamua nisikuelewe kabisa
Vipi mama nimekupiga chenga ya mkonoo ππDuuuh!ππ
Umeamua nisikuelewe kabisa
Yani dah!Vipi mama nimekupiga chenga ya mkonoo ππ
πππ ni sawa tuu na pale unapoamua kupiga picha na mchepuko wako.. Ila mungu anakuwa upande wako. Picha ya upande wako inatoka vibayaa..! πYani dah!
Umeniwekea hadi uji katika story yako ili uvuruge tuπππ
πππ ni sawa tuu na pale unapoamua kupiga picha na mchepuko wako.. Ila mungu anakuwa upande wako. Picha ya upande wako inatoka vibayaa..! π
Kwema lakini ndugu??
Cc Money Penny unaona!Kuna mkaka fulan enzi za 2005 alimtongoza mdada 1..wamefika bar akampiga kiaina block mdada aagize apendacho..akaagiza pepsi 2..wakat huo pepsi ilikua cheap kuliko coca..wamemaliza akamwambia demu nisindikize Kimara mara 1..wamepanda hiace ubungo konda anadai naul..jamaa akamwambia demu huna 300 demu akasema sina..akamqambia 100 jeππdemu akasema sina..akarudia huna ht 50ππ..ni miaka ila huwa hatusahau...hhahaha
Story za kufikirika hizo!Yaliyonikuta jana sitasahau.
Jana kwangu nilikuwa nimetulia usiku saa 5, Mara ghafla nikaskia mayowe kwa jirani, majirani wote tukatoka kwenda kumsaidia mwenzetu huku tukiwa tumejihami kwa mawe, marungu na mapanga. Na tuliooingia kwake tulimkuta chatu mkubwa ajabu! Wakati tukitafakari jinsi ya kumuua usiku ule .. Mara...www.jamiiforums.com