Wachaga mna matatizo gani??

Wachaga mna matatizo gani??

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Mchaga mmoja kamtoa mke wake out.

Mchaga :chips yai bei gani?

Muhudumu :elfu mbili

Mchaga :zina kachumbari?

Muhudumu :ndiyo

Mchaga :kachumbari mnauzaje?
Muhudumu :ni bure

Mchaga: okey basi naomba kachumbari sahani mbili, chips ziache tuu.

Wachaga mna nini lakini??
 
Kuna mkaka fulan enzi za 2005 alimtongoza mdada 1..wamefika bar akampiga kiaina block mdada aagize apendacho..akaagiza pepsi 2..wakat huo pepsi ilikua cheap kuliko coca..wamemaliza akamwambia demu nisindikize Kimara mara 1..wamepanda hiace ubungo konda anadai naul..jamaa akamwambia demu huna 300 demu akasema sina..akamqambia 100 je😂😂demu akasema sina..akarudia huna ht 50😂😂..ni miaka ila huwa hatusahau...hhahaha
 
So mie ni mgonjwa atii 😂
 
Hii ni kwikwi mzeemamaa 😂
 
Sawa ngoja nipone kwanza
 
Yani dah!

Umeniwekea hadi uji katika story yako ili uvuruge tu😂😂😂
😂😂😂 ni sawa tuu na pale unapoamua kupiga picha na mchepuko wako.. Ila mungu anakuwa upande wako. Picha ya upande wako inatoka vibayaa..! 😂

Kwema lakini ndugu??
 
😂😂😂😂
Mungu anakuwa upande wako jua linakuokoa huonekani!

Kwema kabisa pancho boy ...ile stori ya nyoka si ya kutunga lakini?
 
Kuna mkaka fulan enzi za 2005 alimtongoza mdada 1..wamefika bar akampiga kiaina block mdada aagize apendacho..akaagiza pepsi 2..wakat huo pepsi ilikua cheap kuliko coca..wamemaliza akamwambia demu nisindikize Kimara mara 1..wamepanda hiace ubungo konda anadai naul..jamaa akamwambia demu huna 300 demu akasema sina..akamqambia 100 je😂😂demu akasema sina..akarudia huna ht 50😂😂..ni miaka ila huwa hatusahau...hhahaha
Cc Money Penny unaona!
 
Story za kufikirika hizo!
 
Back
Top Bottom