Wachaga mpo! Mmelala mpaka Chama chenu kimeondoka , sasa mtabaki na nini?

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Lengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya

Leo nawatania ndugu zangu Wachaga, mlikuwa na Chama cha CHADEMA mmezubaa mpaka kimeondoka, mali yenu imeondoka mwanangu, Mosha, Mrema, Tarimo, Mtei, Mbowe, Kimoso, Tairo mali imeondoka asee sasa mtabaki na nini ndugu zangu

Njooni kwenye siasa msibaki kwenye biashara, ikiwezekana undeni Chama kingine
 
Wakiwa wanashikilia nafasi wanaitwa chagadema, sasahiv hawapo mnawahimiza warudi tena

Hamjui mnataka nn walimwengu
 
Wanasubiri waliopo wafeli ili wapate nafasi ya kurudisha chama chao. Sasa hivi wamemwacha Lema awe anamonita kinachoendelea pale.
 
NDo Kukua kwenyewe uko, Ukianza kitu kikakubalika kikasambaa duniani ndo fahar yenyyewe... Sisi kama Wachaga tunawakaribisha waTanzania wote kujiunga na CHADEMA na watapewa nafasi sawa ikiwemo Uongozi ndani ya chama ili cham kiendelee kusamba zaidi, Kingebaki Kilimanjaro tu na kua na viongozi wa Kilimanjaro tu kingekosa nguvu mikoa mingine. Wachaga tunajua kuchanga karata zetu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…