Wachaga mpo! Mmelala mpaka Chama chenu kimeondoka , sasa mtabaki na nini?

Lengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya

Leo nawatania ndugu zangu Wachaga, mlikuwa na Chama cha CHADEMA mmezubaa mpaka kimeondoka, sasa mtabaki na nini ndugu zangu

Njooni kwenye siasa msibaki kwenye biashara, ikiwezekana undeni Chama kingine
Uhaini huu! Achana na mawazo ya ukabila. Unadhani Mbowe alishindwa kuiba kura akabaki na chama "chao" kama ulivyopotosha! Chdema ni chama cha wote wapenda haki. hata CCM wengine wapo mle sababu ya njaa lakini ukweli wanauona kuwa CCM imeshindwa kutawala
 
Lakini inaumiza sana mali kuondoka
 
Lengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya

Leo nawatania ndugu zangu Wachaga, mlikuwa na Chama cha CHADEMA mmezubaa mpaka kimeondoka, mali yenu imeondoka mwanangu, Mosha, Mrema, Tarimo, Mtei, Mbowe, Kimoso, Tairo mali imeondoka asee sasa mtabaki na nini ndugu zangu

Njooni kwenye siasa msibaki kwenye biashara, ikiwezekana undeni Chama kingine
hawana hamu nacho, wamejikuta kwenye system waanapotea, walizoea kubebana tra, mchujo huu wa mpemba atabaki wanaostaafu mwakani
 
Lengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya

Leo nawatania ndugu zangu Wachaga, mlikuwa na Chama cha CHADEMA mmezubaa mpaka kimeondoka, mali yenu imeondoka mwanangu, Mosha, Mrema, Tarimo, Mtei, Mbowe, Kimoso, Tairo mali imeondoka asee sasa mtabaki na nini ndugu zangu

Njooni kwenye siasa msibaki kwenye biashara, ikiwezekana undeni Chama kingine
Post ya kibwege
 
Back
Top Bottom