Uhaini huu! Achana na mawazo ya ukabila. Unadhani Mbowe alishindwa kuiba kura akabaki na chama "chao" kama ulivyopotosha! Chdema ni chama cha wote wapenda haki. hata CCM wengine wapo mle sababu ya njaa lakini ukweli wanauona kuwa CCM imeshindwa kutawalaLengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya
Leo nawatania ndugu zangu Wachaga, mlikuwa na Chama cha CHADEMA mmezubaa mpaka kimeondoka, sasa mtabaki na nini ndugu zangu
Njooni kwenye siasa msibaki kwenye biashara, ikiwezekana undeni Chama kingine
Lakini inaumiza sana mali kuondokaUhaini huu! Achana na mawazo ya ukabila. Unadhani Mbowe alishindwa kuiba kura akabaki na chama "chao" kama ulivyopotosha! Chdema ni chama cha wote wapenda haki. hata CCM wengine wapo mle sababu ya njaa lakini ukweli wanauona kuwa CCM imeshindwa kutawala
CHADEMA ni ya watanzania sio ya wachagaAngekuwa mwingine lakini msikosekane
KUMBE HUELEWI, ANGELIKUWA NA MAUMIVU MALI KUONDOKA ASINGELIACHIA...ALIJUA KUWA INAWEZEKANA AKASHINDWA LKN KWA VILE NI CHAMA CHA WATANZANIA AKAACHA DEMOKRASIA ICHUKUE MKONDO WAKELakini inaumiza sana mali kuondoka
hao g55 ndio wenyewe wanapambania hatma zao chamani, ni ukabila mtupuWako wanapambana. Ukaangalie vizuri orodha ya G55
hawana hamu nacho, wamejikuta kwenye system waanapotea, walizoea kubebana tra, mchujo huu wa mpemba atabaki wanaostaafu mwakaniLengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya
Leo nawatania ndugu zangu Wachaga, mlikuwa na Chama cha CHADEMA mmezubaa mpaka kimeondoka, mali yenu imeondoka mwanangu, Mosha, Mrema, Tarimo, Mtei, Mbowe, Kimoso, Tairo mali imeondoka asee sasa mtabaki na nini ndugu zangu
Njooni kwenye siasa msibaki kwenye biashara, ikiwezekana undeni Chama kingine
Post ya kibwegeLengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya