mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,275
To be Honest suzuki ni gari imara sana
sasa wewe nenda na mark X yako au klugger yako then uone uisipoweka juu ya mawe.
Heri ya mwaka mpya mshikiiMbony tsapfo mbekanyi?
Aika sana mbekanyi oko!Heri ya mwaka mpya mshikii
Ngakumisi sana mshikiiAika sana mbekanyi oko!
Nipo my dearNgakumisi sana mshikii
aika meku, acha nimsaidia kukaribiaNdio maana tumeamua kuyaandika "BABA YAKO ANALO" Ili kupunguza maneno kama haya. Halafu hapo umezungumzia wachaga walioko mjini, wa huku kijijini wana pick up na land rover zile za zamani kabisa. Karibu Mbege meku.
Ww ndo unapenda vya hovyo hovyo ata hayo ulio yataja huku Mosh ni yakisharobaro hapa tunataka Landrover109 110 didender TDI na Mkonge km hujui swager tuache ww endelea na spacio zenuWachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi.
Watu wanakwenda mbele na model mpya mpya ye mchaga anarudi nyumba kutafuta magari ya zamani ambayo kila siku anashinda garage mafundi wanashinda uvunguni