Wachaga na Escudo/Rav 4 Model za zamaniii..T 107 A..

Wachaga na Escudo/Rav 4 Model za zamaniii..T 107 A..

Hizo gari za upare zenye marangi rangi umeziona wapi?
Mbona hapa kwetu ndungu sijaziona?
 
Wachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi.

Watu wanakwenda mbele na model mpya mpya ye mchaga anarudi nyumba kutafuta magari ya zamani ambayo kila siku anashinda garage mafundi wanashinda uvunguni
Ww ndo unapenda vya hovyo hovyo ata hayo ulio yataja huku Mosh ni yakisharobaro hapa tunataka Landrover109 110 didender TDI na Mkonge km hujui swager tuache ww endelea na spacio zenu
 
Back
Top Bottom