Siku hzi Msiba ni sherehe na sherehe zina mbwembwe zake:
Chakula kutoka the best caterer, Sare za wafiwa, Muziki na Mc wa viwango, Jeneza high quality, kaburi la marumaru, official arrangement ya waombolezaji (soma - wageni waalikwa) n.k n.k.
Na tambua kama kuna Wageni wanatoka US ama Europe kunakuwa na watu maalum wa kuwapokea.
Kumbuka: Hupaswi kulia bila mpango, lia kulingana na viwango vya msiba, ukipayuka utanyamazishwa. Lia kisasa zaidi
ukiwa unatoa sauti ya chini na kama machozi yanatoka hakikisha una leso ya maana. Usisahau suti yako nyeusi pliz.
Hahahahaah! Hii misiba ya siku hizi full balaa na kadi za michango juu.Siku hzi Msiba ni sherehe na sherehe zina mbwembwe zake:
Chakula kutoka the best caterer, Sare za wafiwa, Muziki na Mc wa viwango, Jeneza high quality, kaburi la marumaru, official arrangement ya waombolezaji (soma - wageni waalikwa) n.k n.k.
Na tambua kama kuna Wageni wanatoka US ama Europe kunakuwa na watu maalum wa kuwapokea.
Kumbuka: Hupaswi kulia bila mpango, lia kulingana na viwango vya msiba, ukipayuka utanyamazishwa. Lia kisasa zaidi
ukiwa unatoa sauti ya chini na kama machozi yanatoka hakikisha una leso ya maana. Usisahau suti yako nyeusi pliz.
Hahahahaah! Hii misiba ya siku hizi full balaa na kadi za michango juu.
Toa huu upuzi hapa peleka kule _ Gossip