Heheheheheh jamaa kawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kuna kisa kimoja ivi, jamaa kaenda kutoa hela benki ili kesho yake anunue gari kamshirikisha rafiki yake mchaga. Hehehe usiku alichezea mapanga na wakaondoka na hela. Wakamjeruhi mke wake baadae hayo majeraha yalimuua.
Wachaga na pesa chanda na pete