Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Khaa!! Maana yake huko alipo anachapwa
Nina mpenz wangu hatuko kwenye maelewano Mazuri kwa sasa ila Leo kanitumia neno hili HANGINYWE nataka nijue maana yake nn ili kama ni tusi nimtafte nimshughulikie.
mkuu huyo siyo mchaga
mjibu HANGINYWII
hilo neno si la kichaga
Khaa!! Maana yake huko alipo anachapwa
Nina mpenz wangu hatuko kwenye maelewano Mazuri kwa sasa ila Leo kanitumia neno hili HANGINYWE nataka nijue maana yake nn ili kama ni tusi nimtafte nimshughulikie.
Haahha😂😂😂😋😜
Haahha😂😂😂😋😜
ni lugha ya wazigua hyo mkuu na ni
salamu 2 , mie pie nipo kiteto
Nimeishi na wazigua kwa miaka mingi na hilo neno wanalitumia kwenye salam. mfano nawasalimia Msinda vihi, JIBU hakijambo hanginywe.
Kwa hiyo demu sasa kampata Mzigua kamkoleza mpaka mtoto anahamu ya kwenda uziguani akasalimu kwa hiyo inabidi apate crush course ya kizigua , hiyo meseji imekuja kwako kimakosa inaonyesha alikuwa anamjibu jamaa.Shukrani mkuu maana nilikuwa nishaanza kupanic.... Si unawajua hawa dada zetu bwana.
Kwa hiyo demu sasa kampata Mzigua kamkoleza mpaka mtoto anahamu ya kwenda uziguani akasalimu kwa hiyo inabidi apate crush course ya kizigua , hiyo meseji imekuja kwako kimakosa inaonyesha alikuwa anamjibu jamaa.