MINJA VINCENT
Senior Member
- Aug 31, 2015
- 180
- 24
Nina mpenz wangu hatuko kwenye maelewano Mazuri kwa sasa ila Leo kanitumia neno hili HANGINYWE nataka nijue maana yake nn ili kama ni tusi nimtafte nimshughulikie.
sio kichagga hicho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mpenz wangu hatuko kwenye maelewano Mazuri kwa sasa ila Leo kanitumia neno hili HANGINYWE nataka nijue maana yake nn ili kama ni tusi nimtafte nimshughulikie.
Lakin yy ni mchaga ila kazi anafanyia Kiteto.
Hivi unajua Marco Poloanapresure
Shukrani mkuu maana nilikuwa nishaanza kupanic.... Si unawajua hawa dada zetu bwana.
Nimeishi na wazigua muda mrefu sana, kamaanisha huko aliko kapata bwana mwingine, ndio kusema umekatwa tayari.
Acha ujinga basi, kwa vile ww umezoea kugongewa unahis ndo kila mtu?
Ndio ukweli na mtazamo wangu napia nihali halisi , kama vipi nenda marikiti tafuta limau lilipie ule.Comment ya kwanza nikahisi una busara kumbe ndo walewale tu.
Nimemwambia kama vipi , aende marikiti akanunue limau ale.maana hiyo ndio hali halisi.Hivi unajua Marco Poloanapresure
Usiogope mkuu, japo si lugha yake Mchaga lakini maana yake ni; "Labda weye" au "Weye pia". Sasa itategemea mlivyokuwa mna chati alikujibu hivyo.
Nina mpenzi wangu hatuko kwenye maelewano mazuri kwa sasa ila Leo kanitumia neno hili ™Hanginywe™.
Nataka nijue maana yake nini ili kama ni tusi nijue.