Wachaga pia huharibu majina

Wachaga pia huharibu majina

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Mfano: Herman- Kyeruma, Peter- Petiri, Nicolaus- Nikolaa... Endelea
 
hahahah umejuaje na wewe ndiyo kati ya wale wanaoharibu? waarusha na wachaga wanaharibu hata rafdhi ya lugha nyingi.
 
MMMMMMM ila msisahau na wahaya kwa kujipa majina ya mitandao ya simu, aina za simu hata magari kama vile koku......... celtel, koku........toyota, rwega.........nokia.
hii sio rafdhi kaka ni rafudhi au na wewe ni walewaleeeeeeeee
 
Tafadhali ntake radhi!!

Freedom- Firii
Edwin, Edward- Eduu
Hezrom- Ezii
Evangelina- Fangee
Martha- Marita
Christine- Kirii
 
Joseph- Osefu, George- Kyoriki, Thomas- Tomaa, Mark/co- Mariki
 
elizabeth- sapeti
agness- akiness
magreth- makireti
 
Gloria- Gilori, Flora- Filo Andrew- Anderea
 
MMMMMMM ila msisahau na wahaya kwa kujipa majina ya mitandao ya simu, aina za simu hata magari kama vile koku......... celtel, koku........toyota, rwega.........nokia.
hii sio rafdhi kaka ni rafudhi au na wewe ni walewaleeeeeeeee

Na siyo 'rafudhi' ni Lafudhi. Te!te!te! Siyo mbaya sana lugha ya mama inaharibu wengi.
 
Back
Top Bottom