Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mfano: Herman- Kyeruma, Peter- Petiri, Nicolaus- Nikolaa... Endelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MMMMMMM ila msisahau na wahaya kwa kujipa majina ya mitandao ya simu, aina za simu hata magari kama vile koku......... celtel, koku........toyota, rwega.........nokia.hahahah umejuaje na wewe ndiyo kati ya wale wanaoharibu? waarusha na wachaga wanaharibu hata rafdhi ya lugha nyingi.
hahahah umejuaje na wewe ndiyo kati ya wale wanaoharibu? waarusha na wachaga wanaharibu hata rafdhi ya lugha nyingi.
Joseph- Osefu, George- Kyoriki, Thomas- Tomaa, Mark/co- Mariki
elizabeth- sapeti
agness- akiness
magreth- makireti
MMMMMMM ila msisahau na wahaya kwa kujipa majina ya mitandao ya simu, aina za simu hata magari kama vile koku......... celtel, koku........toyota, rwega.........nokia.
hii sio rafdhi kaka ni rafudhi au na wewe ni walewaleeeeeeeee