Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Leo nalazimisha kuwatania wakwe zangu, wachaga!
(sisemi nimeoa mchaga yupi)
Mimii nimeoa huko kwa hiyo msifure kwa hasira na mkani RIP mie chasaka!!
Wiki ilianza na mangi Wilfred Massawe, mambo ya viti moto yamekuwa magumu kwa hiyo kaanza utapeli.
Akajiita Katibu uenezi wa chama Tawala na kumtoa upepo Waziri wa JMT!!!
Massawe alivyokuwa na lugha laini, waziri kaingia laini, katoa michuzi nje nje baada ya kuambiwa mtu wa chama tawala anachangisha fedha za harusi ya mwanawe.
Mzee Kamanda Muliro kamdaka.
Katikati ya wiki, kaingia Neema bin Grace Mushi.
Kachoka na penzi la kukopwa, ikabidi atoe funzo kwa mhalifu asije akarudia tena, na liwe fundisho kwa wengine.
Uzoefu wa Neema katika mishkaki ulipitiliza kwa kutumia petroli!
Masikini kijana wa watu aka RIP kikatili, lakini Grace funzo amelitoa
Hata hivyo hasira ya penzi ni hasara!
Naye Mzee kamanda Muliro kamdaka.
Funga kazi ni Alex!
Kila siku anaambiwa Serengeti si mbege, kunywa kwa kituo!
Yeye kaanza juzi yake, bucket baada ya bucket anazimwaga!
Na yeye bado kijana , zile filamu za Tom Clancy wa CIA amezikariri.
Adui wa kufikirika alipojitokeza aliliwa shaba kama kwenye movie.
Alex hakutaka kuacha ushahidi.
Mzee Kamamnda Muliro hapo kala vumbi
Mashemeji zangu na bado Desemba inakuja , taratibu wajameni!!!