raster kipara
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 218
- 43
Ndiyo vipo vinaitwa nduuu na ni dawa ya presha zile nduu chungu ... na kuna nduu tamu acha kabisa hichi kiazi kitamu sana na.kikishamalizia kutoa viaz vya juu kuna vya chini vinakuwa na kama manyoya manyoya hivi vile ndio vitamy zaid
Kwa wale wasio kijua picha hii apa: kichaga kinaitwa "NDUU"
Upo sawa kbs miss chagga
Kwa wale wasio kijua picha hii apa: kichaga kinaitwa "NDUU"
Hapo kuna vitamu na vichungu.... vichungu ni dawa ya presha
uongo gan mkuu uliza ujibiwe je unavifahamu viazi vikuu? tuanze hapo kwanza
Eekama yaani ngifatilia mboni takofo baaasite
Kwa wale wasio kijua picha hii apa: kichaga kinaitwa "NDUU"
Meku hapo sawa nduu ukichanganya na machalari ni kitamu sana,umenikumbusha mbali sana
Machalari tena" nazani bado huvijui.
Nduu ni tofauti na maduma ( soo) zenyewe ni white nduu zina rangi ya njano upishi wake huwa hazimenywi huchemshwa tuu.
Mkuu huwa vinatambaa kwenye mti au mgomba,mana kuna wengine huwa wanakula vya kuchoma au sio hvyo
woode aisee kumbe le saa le. chakii mwona wa nyanu?
osho te arifuu
Kama ni vitu vinavyojenga WHY NOT? (YOU HOW? Ninamaanisha wewe vipi?)ni kweli kabisa mkuu hayo mambo ya ukabila sijui yanatoka wapi