Wachaga waongo

Wachaga waongo

Kwa wale wasio kijua picha hii apa: kichaga kinaitwa "NDUU"
 

Attachments

  • 1403635698007.jpg
    1403635698007.jpg
    96.8 KB · Views: 327
vipo ndungu yangu, usibishane kwa kitu usichokijua. Ni vizuri mtu ukafanya research kabla hujabisha. hivyo viazu huwa vinazaa juu na chini, vya juu ni vichungu mostly ila vya chini nu vitamu alafu ni vya njano. Ntafanya utafiti kama vinapatikana uchagan tu
 
Naomba hizi thread ambazo zinazungumzia ukabila moja kwa moja ziondolewe haraka kama zile za dini. Fanyia kazi hili suala mkuu Invisible.

ni kweli kabisa mkuu hayo mambo ya ukabila sijui yanatoka wapi
 
Last edited by a moderator:
Meku hapo sawa nduu ukichanganya na machalari ni kitamu sana,umenikumbusha mbali sana

Machalari tena" nazani bado huvijui.
Nduu ni tofauti na maduma ( soo) zenyewe ni white nduu zina rangi ya njano upishi wake huwa hazimenywi huchemshwa tuu.
 
Kweli chaga's ni special, ndio kabila linalozungumziwa zaidi.wakilala wakiamka wanawawaza.
 
Machalari tena" nazani bado huvijui.
Nduu ni tofauti na maduma ( soo) zenyewe ni white nduu zina rangi ya njano upishi wake huwa hazimenywi huchemshwa tuu.

Mkuu huwa vinatambaa kwenye mti au mgomba,mana kuna wengine huwa wanakula vya kuchoma au sio hvyo
 
Back
Top Bottom