Wachaga waongo

Wachaga waongo

Dah elimu? Nakimbuka mbali pia tulikuwa tukienda kukata Majani mtoni unakutana na straberrry unajichumia unajilia uku dar pale kisutu kikontainer kidogo elf tano sijui nirudi kijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kijijini mawero huko wanaita kizungu bei haishikiki

"They may forget what you said, but they will never forget how you made them feel.”
 
Hivyo hapo
FB_IMG_1564500131697.jpeg
 
Jamani nataka kujua km kunaviazi vinazaliwa juu ya miti, kunamchaga mmoja katupiga fix, harafu kakomaa kweli!
Nakumbuka zaman nikiwa kama darasa la tatu au nne hivi nilikuwa nmekaa kwenye kijiwe cha kahawa kuna mzee mmoja akawa anawapiga fix wenzake kwamba amewahi kule Mpanda kuna mahindi yanazalia chini kama mihogo.

Basi walibishana na alikomaa kabisa ule ubishi ulidumu zaidi ya week kila siku wanambishia na yeye anakomaa vibaya sijui uliishaje [emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom