Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

Ikifikaga December "watanzania wengine" huwa mnatafuta sana njia za kutufrastireti Wachagga tusi injoi kabisa sikukuu za mwisho wa mwaka [emoji23][emoji23]

Darlin twen'zetu mndenyi bana usisikilize maneno ya Extrovert ni wivu tu unamsumbua [emoji23][emoji23]
Huyu Extrovert ni mpare baada ya wachaga kumfukuza mjini na kumpeleka milimani huko ugweno basi hasira inaendelea vizazi na vizazi..
 
Mshenzi sana wewe walahi
Hao ni family yako umewapiga picha alafu unajifanya wachaga [emoji35]
Uwivu utakuwa kijana mdogo
Utakufa bureeeeee [emoji2959]
Na utatuacha wachaga tunasomba mapesa mpaka kijini kwenu na nyumbani kwenu walahi nakwambia na uwamini!
 
Back
Top Bottom