Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

Huku kama huna pesa usije

Na kama mkeo in mchaga na ww sio mchaga jua ataliwa tu tunda na ma ex wake wa huk


Sikutishi ndivyo ilivyo
 
Mwache akae huyu mzee shirima ataenda kutumwa mbege huko ROMBo mpaka akome
Kwani kuna shida gani.Hatembei kwa miguu atatumia ile v8 ya mzee Pantaleo ili awahi kurudi.Rombo ni hapo karibu tu.Diesel ya laki moja inatosha kwenda wakati wa kurudi ataongeza ya 50000 tu.
Mwache akae huyu mzee shirima ataenda kutumwa mbege huko ROMBo mpaka akome
 
Back
Top Bottom