Wachagga walitaka kuunda nchi yao (Chagga State), Mwl. Nyerere akaomba wasifanye hivyo

IMG_1132.jpg

IMG_1131.jpg

IMG_1130.jpg

IMG_1129.jpg

IMG_1128.jpg

IMG_1127.jpg

IMG_1125.jpg

IMG_1124.jpg

IMG_1123.jpg

IMG_1120.jpg

IMG_1119.jpg

IMG_1116.jpg

IMG_1117.jpg

IMG_1118.jpg
 
Wakati wazungu wanagawana bara la Afrika, walipokuja walikuta baadhi ya maeneo kuna tawala zenye nguvu, zilizokua na mfumo rasmi wa uongozi.

Mojawapo ya tawala ilikuwa ni dola ya wachagga (Chagga state). Dola hiii ilikuwa na Kiongozi Mmoja aliyeitwa Mangi Mkuu

Mangi mkuu aliteua Mamangi wadogo wadogo (RC, DC) mfano Mangi Meli wa Old Moshi, Mangi Sina wa Kibosho, Mangi Salakana wa Useri etc.

January 1952 kulifanyika uchaguzi wa kumchagua Mangi Mkuu wa Wachagga. Wagombea walikua watano. Abdieli Shangali wa Machame, Jackson Kitali wa Mbokomu, Petro Marealle, John Maruma na Thomas Marealle. Thomas Marealle aliibuka Mshindi katika Uchaguzi huo

Turudi nyuma Kidogo, mwaka 1920 dola ya wachagga ilikua ya kwanza Afrika Mashariki kuanzisha na kumiliki gazeti lake (Komkya).

Huduma za maji, umeme, miundombinu ya barabara, hospitali na shule vilifika mapema kulinganisha na maeneo mengine ya nchi.

Ikulu ya kisasa ya Mangi Mkuu wa wachagga, iliyojengwa miaka hiyo hadi sasa ndio Ikulu ndogo ya Rais kwa mkoa wa Kilimanjaro.

Maendeleo haya na mengine mengi, wachagga waliamini yalitokana na elimu. Kwahiyo mwamko wa elimu ulikua mkubwa hasa baada ya wamisionari kujenga shule na huduma za afya kila walipojenga kanisa. Vitu hivi vitatu viliambatana. Kanisa, Shule, na Kituo cha afya.

Kwahiyo hata kwenye kuchagua viongozi, yule aliyekuwa na elimu nzuri ndiye aliyepewa nafasi kubwa ya kushinda ikiaminika kwamba elimu yake itachochea kasi ya maendeleo.

Na hii ni moja ya sababu iliyomfanya Thomas Marealle kushinda kiti cha umangi mkuu mwaka 1952, kwani kati ya wagombea wote yeye ndiye aliyekua na shahada ya uzamili (masters degree) kwa wakati huo.

Kabla ya uhuru kulikua wachumi wawili tu wazawa ambao ni Thomas Marealle na Fredrick Mchauru ambaye walisoma pamoja London School of Economics, kabla ya Marealle kupata ufadhili Cambridge University.

Mangi Marialle aliulizwa na Malikia Elizabeth kuna mtu anaitwa Julius huko Tanganyika anataka Uhuru. Mangi akamjibu kama mpo tayari kutoa Uhuru basi toeni kwetu (Chagga Land) huko ze rest of Tanganyika hao wapeni baada ya miaka 20 huko

NB: TANZANIA haina ukabila na hii haiusiani na ukabila

Naomba kujua makabila yenye umoja Sana hapa Tanzania ukiachana na wachaga

Mungu ibariki Tanzania
1683681705837.jpg

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Yani ingekua Chagga Land wamepata uhuru wao, ungekuta wapo complete package.
-Wangekua na Airport
-Vivutio vya kitalii
-Miundo mbinu mizuri
Wangekua km Luxemburg
 
Watu wengi hawafahamu historia kikamilifu kwasababu hawaoji wahusika halisi au hata hawasomi katika vyanzo halisi

UKWELI UPO HIVI:-

• Kwanza, Watu wanapaswa kujua kuwa Kwa kanda ya Kaskazini tayari maendeleo yalishakuwepo kuanzia mwaka 1880, hapa ninamaanisha Kilimanjaro, Arusha na Tanga hasa Lushoto na Lwandai. Maendeleo hayo ni katika nyanja zifuatazo:

KUJITEGEMEA / INDEPENDENT

Jamii ya Wachagga, Wameru na Waarusha (Larusa) walishaweza kujitegemea kwa biashara ya kubadilishana bidhaa zifuatazo, Kahawa, Maziwa, Ndizi, Mahindi na Ngozi hivyo waliweza kusustain maisha

KIELIMU

Jamii ya Wachagga walishafanikiwa na kuendelea sana kielimu kutokana na kupokea Wamisionari waliopeleka Injili, Elimu na Huduma ya Afya, hii ilipeleka Kujengewa shule nyingi sana na bora, Hospitali na Makanisa kuanzia nyakati zile mpaka leo hii

UWEZO BINAFSI / KUJITUMA

Jamii hizi zina asili ya kuchapa kazi kwa moyo wa kujituma sana, hii spirit ipo pia kwa Wakenya.

Kwa mfano: kuna shule nyingi za zamani katika kanda hiyo (Northen zone) zilizojengwa kwa juhudi binafsi za watu kwa mfano shule ya Old Moshi (Moshi), Akeri (Meru), Ilboru (Arusha), Mringa (Arusha), Machame (Moshi) n.k

Hatahivyo, zipo barabara nyingi zilizobuniwa na kujengwa kwa juhudi za watu chini ya maelekezo ya viongozi wao

Pia, kuna miji iliyobuniwa na watu binafsi wa sehemu hizo na kukuwa sana, kwa mfano eneo la stand na Manispaa ya Monduli iligunduliwa na Familia ya Sokoine na kweli serikali ikajenga mji hapohapo

Vilevile Marangu (Pale Marangu Mtoni) aliyecentralise kale ka mji ni Mareale

Kanisa la Ilboru lilijengwa mwaka 1904 na Wanawake tu na leo hii limesimama na lina miaka 119 na ushahidi upo

ALL IN ALL, Kilimo cha kahawa ndicho kilichowasomesha sana watu wa jamii za huko Kaskazini kupitia vyama vya Ushirika kama

- Kilimanjaro Native Coffee Union (KNCU)

- Arusha Coffee Union (ARCU)

- Meru Coffee Union

- Ugweno Corperative Union

- Olturoto Cooperative Union

Hivyo vyote vilifanya viongozi wa jamii za huko waone kuwa wanaweza kujitawala, hata akiondoka Mzungu wao watajiweza na kweli ingekuwa hivyo kama si Mwl. Julius K. Nyerere

Just Imagine, mpaka kufikia kupatikana uhuru mwaka 1961, kilimanjaro ilikuwa na zaidi ya shule 35 za sekondari na zaidi ya 50 za Msingi, wakati huo kuna wilaya za Tanga na Pwani hazikuwa na shule ya sekondari hata moja

Arusha ilikuwa na shule za sekondari zaidi ya 20 na msingi zaidi ya 30 chini ya msaada wa Mayor wa wakati ule Letawo Laizer (Almaarufu DON KING) wakati Zanzibar haikuwa na shule hizo

So, ni kweli waliotaka kupewa uhuru na kujitegemea ni pamoja MAREALE na KIRILO wa Meru - Arusha

Unaweza kupata historia hizi na za kweli pamoja na picha pale CHAGGA CAVES- Marangu au ARUSHA BOMA.
 
wacha upumbavu nawe eti kama Wakenya!? Mbona KNCU ianzie Tanzania kama cooperative Union ya kwanza Africa?
 
Wakati wazungu wanagawana bara la Afrika, walipokuja walikuta baadhi ya maeneo kuna tawala zenye nguvu, zilizokua na mfumo rasmi wa uongozi.

Mojawapo ya tawala ilikuwa ni dola ya wachagga (Chagga state). Dola hiii ilikuwa na Kiongozi Mmoja aliyeitwa Mangi Mkuu

Mangi mkuu aliteua Mamangi wadogo wadogo (RC, DC) mfano Mangi Meli wa Old Moshi, Mangi Sina wa Kibosho, Mangi Salakana wa Useri etc.

January 1952 kulifanyika uchaguzi wa kumchagua Mangi Mkuu wa Wachagga. Wagombea walikua watano. Abdieli Shangali wa Machame, Jackson Kitali wa Mbokomu, Petro Marealle, John Maruma na Thomas Marealle. Thomas Marealle aliibuka Mshindi katika Uchaguzi huo

Turudi nyuma Kidogo, mwaka 1920 dola ya wachagga ilikua ya kwanza Afrika Mashariki kuanzisha na kumiliki gazeti lake (Komkya).

Huduma za maji, umeme, miundombinu ya barabara, hospitali na shule vilifika mapema kulinganisha na maeneo mengine ya nchi.

Ikulu ya kisasa ya Mangi Mkuu wa wachagga, iliyojengwa miaka hiyo hadi sasa ndio Ikulu ndogo ya Rais kwa mkoa wa Kilimanjaro.

Maendeleo haya na mengine mengi, wachagga waliamini yalitokana na elimu. Kwahiyo mwamko wa elimu ulikua mkubwa hasa baada ya wamisionari kujenga shule na huduma za afya kila walipojenga kanisa. Vitu hivi vitatu viliambatana. Kanisa, Shule, na Kituo cha afya.

Kwahiyo hata kwenye kuchagua viongozi, yule aliyekuwa na elimu nzuri ndiye aliyepewa nafasi kubwa ya kushinda ikiaminika kwamba elimu yake itachochea kasi ya maendeleo.

Na hii ni moja ya sababu iliyomfanya Thomas Marealle kushinda kiti cha umangi mkuu mwaka 1952, kwani kati ya wagombea wote yeye ndiye aliyekua na shahada ya uzamili (masters degree) kwa wakati huo.

Kabla ya uhuru kulikua wachumi wawili tu wazawa ambao ni Thomas Marealle na Fredrick Mchauru ambaye walisoma pamoja London School of Economics, kabla ya Marealle kupata ufadhili Cambridge University.

Mangi Marialle aliulizwa na Malikia Elizabeth kuna mtu anaitwa Julius huko Tanganyika anataka Uhuru. Mangi akamjibu kama mpo tayari kutoa Uhuru basi toeni kwetu (Chagga Land) huko ze rest of Tanganyika hao wapeni baada ya miaka 20 huko

NB: TANZANIA haina ukabila na hii haiusiani na ukabila

Naomba kujua makabila yenye umoja Sana hapa Tanzania ukiachana na wachaga

Mungu ibariki Tanzania
View attachment 2799024a
h
Sent from my SM-A047Fusing JamiiForums mobile app
haya majungu sasa!
 
vipi kuhusu na sisi wadudu wa chugastan tupewe na sisi nchi yetuu
 
Tena wangekuwa na empayer yenye nguvu kubwa. Unaifahamu Rwanda? Hata mkoa wa mbeya mkubwa. Lakini ona sheria na utaratibu wao kwenye kila kitu. Hukuti rushwa huko. Hukuti mtumishi amevuruga ili kujitunishia yeye tu na ndugu zake. Wameshindwa tu kwenye uchaguzi kila wakati yupo yule yule. Lakini nae naweza sema kagame ana nia nzuri tu na Rwanda. Anajua akiondoka tu madaraka mambo mengi yatavurugika
 
kama hiyo state ya wachagga ingekuwa hai mpaka leo basi watanganyika tungekuwa na mapambano ya kuvunja muungano sehemu mbili, zanzibar na chagga state.

nyerere alikuwa sahihi kuwasambaratisha hao wachagga sijui alibugi wapi kwa wazenji.

ukabila.
Ndio maana unajiita the lost one.
State ina hadhi sawa na nchi..
Hivyo chaga state ingekuwa ni nchi kamili.
Suala muungano na wajinga wa Tanganyika, sijui wakosa chogo wa visiwani lisingekuwepi...ingekuwa kama nchi ya Rwanda tu yenye Watutsi na Wahutu ( wachaga na wapare)
 
Watu wengi hawafahamu historia kikamilifu kwasababu hawaoji wahusika halisi au hata hawasomi katika vyanzo halisi

UKWELI UPO HIVI:-

• Kwanza, Watu wanapaswa kujua kuwa Kwa kanda ya Kaskazini tayari maendeleo yalishakuwepo kuanzia mwaka 1880, hapa ninamaanisha Kilimanjaro, Arusha na Tanga hasa Lushoto na Lwandai. Maendeleo hayo ni katika nyanja zifuatazo:

KUJITEGEMEA / INDEPENDENT

Jamii ya Wachagga, Wameru na Waarusha (Larusa) walishaweza kujitegemea kwa biashara ya kubadilishana bidhaa zifuatazo, Kahawa, Maziwa, Ndizi, Mahindi na Ngozi hivyo waliweza kusustain maisha

KIELIMU

Jamii ya Wachagga walishafanikiwa na kuendelea sana kielimu kutokana na kupokea Wamisionari waliopeleka Injili, Elimu na Huduma ya Afya, hii ilipeleka Kujengewa shule nyingi sana na bora, Hospitali na Makanisa kuanzia nyakati zile mpaka leo hii

UWEZO BINAFSI / KUJITUMA

Jamii hizi zina asili ya kuchapa kazi kwa moyo wa kujituma sana, hii spirit ipo pia kwa Wakenya.

Kwa mfano: kuna shule nyingi za zamani katika kanda hiyo (Northen zone) zilizojengwa kwa juhudi binafsi za watu kwa mfano shule ya Old Moshi (Moshi), Akeri (Meru), Ilboru (Arusha), Mringa (Arusha), Machame (Moshi) n.k

Hatahivyo, zipo barabara nyingi zilizobuniwa na kujengwa kwa juhudi za watu chini ya maelekezo ya viongozi wao

Pia, kuna miji iliyobuniwa na watu binafsi wa sehemu hizo na kukuwa sana, kwa mfano eneo la stand na Manispaa ya Monduli iligunduliwa na Familia ya Sokoine na kweli serikali ikajenga mji hapohapo

Vilevile Marangu (Pale Marangu Mtoni) aliyecentralise kale ka mji ni Mareale

Kanisa la Ilboru lilijengwa mwaka 1904 na Wanawake tu na leo hii limesimama na lina miaka 119 na ushahidi upo

ALL IN ALL, Kilimo cha kahawa ndicho kilichowasomesha sana watu wa jamii za huko Kaskazini kupitia vyama vya Ushirika kama

- Kilimanjaro Native Coffee Union (KNCU)

- Arusha Coffee Union (ARCU)

- Meru Coffee Union

- Ugweno Corperative Union

- Olturoto Cooperative Union

Hivyo vyote vilifanya viongozi wa jamii za huko waone kuwa wanaweza kujitawala, hata akiondoka Mzungu wao watajiweza na kweli ingekuwa hivyo kama si Mwl. Julius K. Nyerere

Just Imagine, mpaka kufikia kupatikana uhuru mwaka 1961, kilimanjaro ilikuwa na zaidi ya shule 35 za sekondari na zaidi ya 50 za Msingi, wakati huo kuna wilaya za Tanga na Pwani hazikuwa na shule ya sekondari hata moja

Arusha ilikuwa na shule za sekondari zaidi ya 20 na msingi zaidi ya 30 chini ya msaada wa Mayor wa wakati ule Letawo Laizer (Almaarufu DON KING) wakati Zanzibar haikuwa na shule hizo

So, ni kweli waliotaka kupewa uhuru na kujitegemea ni pamoja MAREALE na KIRILO wa Meru - Arusha

Unaweza kupata historia hizi na za kweli pamoja na picha pale CHAGGA CAVES- Marangu au ARUSHA BOMA.
Hivi Monduli ni manispaa???
 
Back
Top Bottom