Wachagga, Wamasai, wameru na wapare wamejitahidi sana kuchanganya damu na makabila mbalimbali Duniani; makabila yote xmass macho kaskazini

Kuna wale wa kusema sitoki Dar πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mi nimekuja na washkaji zangu wapemba kila siku walikuwa wananisumbua nimekuja nao hilo bata wanalokula hawatasahau.
 
Unapoteza muda kuhangaika na watu finyu kama hao?
Wao ni kujisifu kiboya tu. Juzi tupo downtown fulani kuna moja linajisifu kwamba "in Tanzania, the Chaga tribe is considered the most developed by European and US standards.

Akaendelea kudai kwamba, "the Chaga community stands out for having the highest number of LGBTQ individuals, who live without fear of stigma or harm in their community".

Lile fala likaendelea kudai kuwa "the LGBTQ community in the Chaga tribe is robust and expanding, surpassing the combined numbers of other communities in the coutry, excluding Zanzibar".
Akaongezea mfano yule shoga aliyefanyikwa operation ya kubadili jinsiakwa kusema , "the first Tanzanian man to undergo gender reassignment surgery was from the Chaga tribe".
 
Wana ujinga mwingi...na actually ni washamba wazr tu...

Wew kama unajefeel uko developed then sherekea kivyako achana kuhusisha makabila mengine..
Mara wahaya, wasukuma etc..huu ni upumbavu na kuna wachagga wengi ni wapumbavu hasa vijana wa siku hiz...ndo maana moshi inazidi kudecay na kuchakaa kila siku kwa sababu ya EGO walionayo vijana wa huko.

Na ni kweli LGBTQ imetia kambi Miongoni mwa wachagga..na wao wanaipuuzia..subiri watakuja kushtuka kushakucha maana ile spirit uwa inasambaa kwenye koo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Yaani wanawashwa washwa sana na cha kushangaza wanajaribu kujionesha wao ni bora kuliko wengine!
Kila mtu apambane na hali yake!
 
Moshi is just a ghost town kwa sasa. Imebaki kuwa "December town". Ni mji ambao una above 55 wengi zaidi kuliko vijana, wakati huohuo idadi ya kuzaliana ya vijana hao ikiwa chini sana.
 
Endeleeni na Tambo zenu za kijinga huku mji wengu ukizidi kuangamia...

Wahaya walikubali wamekosea hadi mkoa wa kagera kushuka kiuchumi na sasa wako wanajisahihisha Tazama miradi kibao inayoendelea mjini Bukoba...kila sehemu kuna ujenzi huku barabara ya njia nne km 5.1, huku stendi, kule bandari, huku shopping mall, new hospital, new university...

Wahaya hawa hapa wako kwao kujadili namna ya kuuinua mkoa wao...nyinyi kaleweni huko kibosho

View: https://youtu.be/GO309fP2UU0?si=AX58K4Qk6nYkZ1p5

Machalii wanadharau huku kibosho Kuna dogo hapa katoka daslami na vichenchi chenchi kafunga bar ya mbege kanunua pombe yote!
Anasasema kama unataka kuingia kwenye pombe anakupiga Kofi Moja alafu anakupa buku Tano ndio unaingia ukumbini
Kibosho sehemu gani umbwe, kirima, singa au wapi huko πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…