ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Nonsensical statementHuwa sina muda na mtu aliyejiandaa kubisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nonsensical statementHuwa sina muda na mtu aliyejiandaa kubisha.
Wameru walikufanyaga Nini mkuu naona Kila post unahangaikaga nao miaka na miaka 😂😂😂hao wameru watoe hapo kwenye list
Hachana na huyo kishoiya.Wameru walikufanyaga Nini mkuu naona Kila post unahangaikaga nao miaka na miaka 😂😂😂
Nlikua nazurura mitandaoni nikashangaa Kila ikitajwa wameru atawaka jamaa hata kama ni thread 10 tofauti ndio nikagundua jamaa sio mzima huyu ana psychological problem alipata ase😂 inaonyesha Kuna pisi ya kimeru ilimfanya vibaya ase ana chuki sijawah ona😂Hachana na huyo kishoiya.
Na hizo pisi za kimeru ndiyo hazinaga tabia ya kunyenyekea boya.Nlikua nazurura mitandaoni nikashangaa Kila ikitajwa wameru atawaka jamaa hata kama ni thread 10 tofauti ndio nikagundua jamaa sio mzima huyu ana psychological problem alipata ase😂 inaonyesha Kuna pisi ya kimeru ilimfanya vibaya ase ana chuki sijawah ona😂
Ndo ujiite nrangoo aiseeKaribuni sana Kilimanjaro ndugu zangu
Kibosho ipi hiyo aiseeMachalii wanadharau huku kibosho Kuna dogo hapa katoka daslami na vichenchi chenchi kafunga bar ya mbege kanunua pombe yote!
Anasasema kama unataka kuingia kwenye pombe anakupiga Kofi Moja alafu anakupa buku Tano ndio unaingia ukumbini
Hao wa kaskazini kutwa kuchwa wapo dar kudhulumu viwanjaDini ilianzia Kaskazini, ustaarabu ulianzia kaskazini.... UJINGA uliazia Dar....
Nashukuru umejua kuwa hao ni "WAFU"Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana.
Leo hii tunaposema Kaskazini ndipo ilipo Christmas's si kwa sababu ya haya makabila pekee bali hata wasukuma ,wabaya, wayao, wajaluo ,wanyakyusa na makabila mengine yanaungana na hawa watu ambao kwa bahati nzuri awajawahi kukataa kwao.
Leo yakitokea madhara kaskani katika sikukuu hii hakuna nchi ambayo mwanachi wake hatoaathirika , hakuna kijiji hapa nchini ambacho kitakosa mwakilishi huko Kaskazini.
Jambo jingine ni kwamba hawa wafu wanapenda kwao bila kujali ngazi ya maendeleo. Mfano Masai pamoja na ujio umaskini wake lakini anajisifu kuzaliwa ngorongoro. Kuna watu wamezaliwa Pwani na wanaishi DAr ila ukiwaambia waende kwao mtagombana.
Wahaya na Wanyakyusa wamesoma na kuelimika lakini umewahi kuwaona wakiungana na familia Mbeya au Kagera? Wakinga wanapesa nyingi, wanamiliki uchumi wa Kariakoo lakini hakuna siku utawasikia wanakwenda Njombe.
Wasukuma ndo kabisa usiseme. Lakini pia tuna waha kutoka Kigoma hata viongozi tu kwenda kwao na kujenga huko hawataki....lakini makabila haya yote yanaungana na wachaga kwenda kaskazini mwisho wa mwaka. Tunahitaji kuwapongeza hawa wenzetu kwa kupenda kwao na kupathamini.
Tunapaswa kujifunza.Mikoa yote na majiji yote hakuna watu isipokuwa Arusha na Kilimanjaro.......huu umoja wao utufunze umuhimu wakishikana.
Mwisho, hawa jamaa ukiangalia magari yanayopeleka misiba kwao ni mengi si kwa sababu wanapenda tu kuzika kwao ila kwa sababu wanaouwezo wakuchangishana wakapata fedha, wana vikundi vyakusaidiana, wanapendana na mwisho wanainuana.
Sisi wengine tumebaki kusema hatutaki ukabila, bila makabila kuna Tanzania?
Sawa kipepeo[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wafu Tena?
Ok waache wafu wazikane huko kaskazin