kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Ni kweli walifanya kikao ambacho Waziri wa barabara alikuwepoHiv nyinyi hamuwezi jisifia kivyenu mkaacha kuyasema makabila mengine?
Kila kabila lina culture zake na ziheshimiwe...usiforce wote mfanane..huo ni ushamba...
Na mara nyingi makabila unayoyataja taja ni yale mnayofeel inferior mbele yao...yaan unahisi wamekupita so unatafuta attention kutoka kwao
Anyway wahaya wanarudi sana kwao tu..katafute bus la kwenda bk leo uone kama utapata
Stendi ya Bukoba naona imezungushiwa mabati iko inajengwa..
Eti michango ya maendeleo..juzi tu hapa wahaya wamechangia ujenzi wa ujenzi wa uzio wa kisasa wa shule ya sekondary Bukoba na omumwani hapo Bukoba...
Bukoba kunajengwa barabara ya njia nne km 5.1
Bukoba bandari yake inapanuliwa ikizidi kuwa ya pili kwa ukubwa kanda ya ziwa...
Bukoba kunajengwa Tawi kubwa sana la UDSM
Bukoba kunajengwa hospital mpya ya mkoa
Bukoba mji mzima kwenye junction kali kuna taa za kuongoza magari...
Uwanja wa ndege Bukoba unawekewa control tower
Bukoba kunajengwa hospital mpya ya moyo...
Jana tu wahaya diaspora walikuwa na kikaa na mkuu wa mkoa wao kujadili jinsi ya kuinua uchumi wa mkoa wa kagera...hoja kibao zimeletwa na mambo mengi yanafanyika siku hiz...bukoba ni construction site na mwakani itapata new shopping mall
Tuje moshi kuna kitu gani kinaendelea zaidi ya mji kuzidi kuchakaa kila kukicha....
Hakika wapambane maana pako nyuma sana ni Aibu,haiwezekani bukoba yenye wasomi bado iko hali duni hivi mpk leo
Ni Aibu sana