Wachagga, Wamasai, wameru na wapare wamejitahidi sana kuchanganya damu na makabila mbalimbali Duniani; makabila yote xmass macho kaskazini

Ni kweli walifanya kikao ambacho Waziri wa barabara alikuwepo

Hakika wapambane maana pako nyuma sana ni Aibu,haiwezekani bukoba yenye wasomi bado iko hali duni hivi mpk leo

Ni Aibu sana
 
Wachagga tunabaguana mpaka kifamilia sio kiukooo tu wala usishangae....
Inashangaza sana kwa kweli wakati kutwa mnajisifia kuwa mko civilized...

Kwa mambo na ujenzi unaofanyika Bukoba sasa hiv...baada ya miaka michache patakuwa pazr sama
 
😅😅😅😅 kaka mpaka sasa hivi haijasogezwa ipo tu mkuu....kumbe huku nyumbani ushafika japo najua wewe mhaya, ulikuja kufanya nini??? Lami bado mvua ikinyesha tope la kufa mtu.
Hunidanganyi chochote kuhusu jamii ya wachaga na vijiji vyao...nimeenda kote huko hadi Rombo ndani ndani huko...umbwe, machame, marangu, mwika, mweka nk

Na bado kuna umaskini mkubwa tu...bado hata nyumba za tope zipo na za mabanzi pia...japo na nyumba decent zipo...
Lakin Tambo ni nyingi kuliko uhalisia

Ukiachana na barabara za lami kuelekea kwenye mageti ya mlima Kilimanjaro moshi vijijini hakuna tofauti sana Bukoba vijijini japo Bukoba vijijini , muleba, misenyi na karagwe kuna nyumba nzr sana zaidi na nyingi kuliko huko moshi vijijini ambazo ukiachana na wafanyabiashara wachache nyumba nyingi hazina tofauti zilizoko kimara
 
Yaani wanawashwa washwa sana na cha kushangaza wanajaribu kujionesha wao ni bora kuliko wengine!
Kila mtu apambane na hali yake!
Mkuu punguza hasira, usichukulie huu Uzi serious kiivyo haha
 
Ni kweli walifanya kikao ambacho Waziri wa barabara alikuwepo

Hakika wapambane maana pako nyuma sana ni Aibu,haiwezekani bukoba yenye wasomi bado iko hali duni hivi mpk leo

Ni Aibu sana
Tatizo la Bukoba lilikuwa baadhi ya wafanyabiashara wabinafsi ambao wako katika ccm hapo mjini Bukoba waliokuwa wameshikilia kila kitu hapo mjini Bukoba kama abood alivyoshikilia Morogoro...ndo maana hata wahaya walikuwa wanapakimbia kwenye uwekezaji...ilifikia hatua mtu akianzisha mradi wowote hata hotel tu anapigwa vita na fitina mpaka anafunga hio hotel...walikuwa wanafanya hivi kama huo mradi hauna maslahi nao...

Ila sasa mambo yamebadilika...wamekuja wahaya wasomi vijana wagumu na wenye misimamo waliochoka na kudumaa kwa mji...kuanzia mbunge huyu byabato ambaye anakubalika kwa vijana wengi...japo naye bado anapata upinzani mkubwa kutoka kwa hao wabinafsi mpaka analia hadharani lakin watu wa Bukoba wanamsaport ndo maana sasa mambo yanafanyika...ukiongeza na backup ya bashungwa, baadhi ya maprofessor na zile takwimu kuwa mkoa wa kagera ni wa mwisho kiuchumi ( na hizi zimetengemezwa makusudi kagera ili kagera iwe ya mwisho na mwisho mkoa ukumbukwe) basi ndo wale wanasiasa wanapata shida kuendeleza ajenda zao...

Hata hii barabara ya njia nne nyumba kibao zimevunjwa na nyingine zitavunjwa sana tu...barabara lazima ijengwe 5.1km mpaka bandari ya Bukoba maana barabara ni ya tanroad...japo bado hao wabinafsi wanapinga huu mradi imagine....mimi siku nikiwa mkubwa aisee hao watu watakuwa wanaokotwa kwenye viroba mto kagera...

Na hili si tatizo la kagera tu ni Tz nzima ndo maana maendeleo yanazubaa sana kwa sababu ya ubinafsi
 
Hilo la kuanzisha Biashara na kufanyiwa figisu na wakongwe walishibana na viongozi wa Halmashauri ni kweli

Nakumbuka tulikuja na mradi mmoja wa kijerumani kutoka Arusha pamoja na kampuni ya solar (Mobisol) ambayo ingetoa ajira nyingi kwa wazawa...

Pale Halmashauri wakaanza ujinga ujinga na kutuchelewesha bila sababu...tukahamia KAHAMA
 
Ni kweli hii culture ipo Tanzania sio Bukoba tu...ndo maana Tanzania uwekezaji ni mdogo na remmitance ni ndogo kwa sababu ya viongozi na vitengo kwenye halmashauri...wanakuzungusha bila sababu ya msingi au utoe rushwa....

Hii kadhia wanakumbana nayo watu wengi wenye nia ya kufanya uwekezaji kwenye mikoa yao...ndo maaana sehemu zenye wahindi uwa haziendelei maana na wao pia ni wazr wa figisu..ukianzisha biashara inayofanana na yao basi wataonga hata halmashauri ili usifanikiwe...
 
Inashangaza sana kwa kweli wakati kutwa mnajisifia kuwa mko civilized...

Kwa mambo na ujenzi unaofanyika Bukoba sasa hiv...baada ya miaka michache patakuwa pazr sama
Nyie mnakatabia cha ubinafsi sana na dharau.
 
Sikupingi ni kweli, shida ni tambo nyingi tu sema jamii zetu zinafanana sana.
 
Hata kama unachuki na moshi usiilinganishe na bukoba mkuu moshi wanajenga njia 4 kilometer 8 tena standard ya kisasa, moshi pale kunakua na airport 2 wana kia na moshi airport iko kwenye ujenzi wewe unaelezea mipango ya bukoba umejaribu japo kufuatilia vitu gani vinaendelea moshi?? Au ndo kuzani bukoba tu ndio inajengeka kwingine Pamelala mtoa hoja yuko sahihi kabisa watu wa kaskazini wamechangamana kwao na ni jambo la kujifunza ili sote tuijenge Tanzania 🇹🇿 yenye mafanikio wewe hapo jiulize makabila ya kaskazini yaliyoko kagera ulinganishe na watu wa kagera walioko kaskazini au sehemu zingine za nchi utagundua bado watu wa bukoba ni waoga wa fursa nenda benako, kyaka, ngara, mtukula, omurushaka, kayanga, muleba, bukoba mjini kote utakuta watu wa kaskazini wanafanya biashara wameanzisha makazi na wanaendeleza maisha na si bukoba tu no nchi nzima sasa wewe toka hapo nenda songea au mtwara kama utakuta mtu wa bukoba labda mleta mada ana hoja na si ulete kujikweza sijui mnanini kwanza kwa taarifa yenu bukoba ni moja ya miji ya siku nyingi ila imedumaa sana maendeleo mnayosema leo mlitakiwa mpate siku nyingi kwa elimu kufika kwenu mapema shida ni mmekua waoga sana wa kutoka na kuchangamana leo hii hata kwa kahama hamuingii bukoba mjini yote hamna sehemu iliyochangamka hata kuikuta katoro tu hapo na jinsi maneno yako ya kujimwambafay nmeelewa kabisa kwanin bukoba inachelewa kupiga hatua inatakiwa mtoke mjichanganye na mkipata hela mrejee kujenga kwenu kama watu wa kaskazini wanavyofanya , nyie bukoba msifie miradi mwanza na dodoma wasemaje 😀
 
Leta
Leta link tusome huo utafiti na namna ulivyo fanyika vinginevyo unapiga umbea kama khadija kopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…