Wachagga, Wamasai, wameru na wapare wamejitahidi sana kuchanganya damu na makabila mbalimbali Duniani; makabila yote xmass macho kaskazini

Hachana na huyo kishoiya.
Nlikua nazurura mitandaoni nikashangaa Kila ikitajwa wameru atawaka jamaa hata kama ni thread 10 tofauti ndio nikagundua jamaa sio mzima huyu ana psychological problem alipata ase😂 inaonyesha Kuna pisi ya kimeru ilimfanya vibaya ase ana chuki sijawah ona😂
 
Na hizo pisi za kimeru ndiyo hazinaga tabia ya kunyenyekea boya.
 
Machalii wanadharau huku kibosho Kuna dogo hapa katoka daslami na vichenchi chenchi kafunga bar ya mbege kanunua pombe yote!
Anasasema kama unataka kuingia kwenye pombe anakupiga Kofi Moja alafu anakupa buku Tano ndio unaingia ukumbini
Kibosho ipi hiyo aisee
 
Nashukuru umejua kuwa hao ni "WAFU"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…