FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Iyo ilifanya Coman akose penalty?Matukio yanaongea [emoji116]View attachment 2452109
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo ilifanya Coman akose penalty?Matukio yanaongea [emoji116]View attachment 2452109
Acha kukurupuka,Soma contentIyo ilifanya Coman akose penalty?
Tena bahati hii ni statistic ya mechi nzima. Ungeweka ya first half team ufaransa wangelia. Kipa wa Argentina hakugusa mpira.
😂😂😂 thubutu mpira umeanza kufatilia juzi apa,tena wewe utakua shabiki wa citizensTubishane kwa hoja bhana haya mambo ya basketi boll yamejiletaje hapa😄😄😄😄😄
Btw naeza nikawa naujua mpira kukuzidi hata wewe muone kwanza
Mkuu usiforce kila mtu aishi vile unavofikiria wewe😄😄😄😂😂😂 thubutu mpira umeanza kufatilia juzi apa,tena wewe utakua shabiki wa citizens
Kweli kabisa sio kwa ile shoot ni vere week mkuu 😄😄😄
nimerelax sana,wew shabiki mbappe ndo unatapatapaMkuu usiforce kila mtu aishi vile unavofikiria wewe😄😄😄
Unatumia nguvu sana na hata mia hujapewa relax
Ingia mitandaoni uangalie huyo Penaldo kama anatrend? Dunia nzima kwa sasa inamzungumzia MessiHapana ila ukiangalia tu wale jamaa ni kama wanabenwa flani hivi, em karewatch mechi ya jana ile first half, the referee alikua upande wao kabisa hata penalty ilikua n zawadi nadhan hata VAR hawakufanya assessment
Chakushangaza ameshinda ila Ronaldo ndo ana trend Poleni 😁😁
Hata no vile ww unaona natapata bt i can assure u naenjoy kubishana na nyie hapa ni raha mno😄😄😄😄😄😄😄nimerelax sana,wew shabiki mbappe ndo unatapatapa
wala hatubishani tunatoa hoja kwa hoja,afu kumbe wewe ni demu nkajua naongea na mtu mpira niueHata no vile ww unaona natapata bt i can assure u naenjoy kubishana na nyie hapa ni raha mno😄😄😄😄😄😄😄
Panic at ur own risk
Aah we nae angalia hii comment ya saa ngapi,Ingia mitandaoni uangalie huyo Penaldo kama anatrend? Dunia nzima kwa sasa inamzungumzia Messi
Unaongea ujinga ujinga tu hapa
🚮 🚮 🚮Aah we nae angalia hii comment ya saa ngapi,
Watu hutrend muda maalum once muda ukipita hawatrend
Relaxx
wala hatubishani tunatoa hoja kwa hoja,afu kumbe wewe ni demu nkajua naongea na mtu mpira niue
😁kafatilie ARIDHIOKwan demu bongo 😄😄😄😄😄
Futbol is for everybodyyy bru
Hii picha ni nzuri jamani...