Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mmeleweshwa na safari ya Penaldo kubeba papai badala ya kombe[emoji38][emoji38]
1. Wakati Argentina inafungwa na Saudi Arabia kwanini hamkusema wanabebwa?
2. Wakati Argentina wanafunga goli mbili na zote zinarudishwa na Nertherlands kwanini hamkusema Argentina wanabebwa?
3. Wakati timu nzima ya Argentina inapigwa kadi za njano na refa, kwanini hamkusema wanabebwa?
4. Wakati kipa wa Argentina Martinez anadaka na kutoa penalty zenu hao FIFA ndo waliingia golini kudaka? Au ndo walipindisha miguu ya wachezaji wenu?
5. Wakati Argentina wanafika fainali timu nyingine zilikuwa wapi? Kwanini fainali isingekuwa kati ya France na Portugal?
Tujufunze ku-appreciate juhudi za watu.
Huu ni wivu wa kikeIshu sio kafungwa na muarabu
The case is mmebeba kombe ila nyie sio timu bora , kama mngekua timu bora magoli yasingekua yanarudishwa mercilessly
Angalia mlivocheza na uholanzi, any team winning thru penalties isn't a BIG TEAM
Ova
Na log off
👇👇Nahitimisha kwa kusema pumbavu zao wanaosema argentina walibebwa...na je ile last minute penati ya france kwanini muamuz asingepeta ili argentina washinde...
We uliona ile mechi ya Japan na Spain ule mpira ulitoka nje kabisa lakini VAR ikazimwa yaani FIFA walikuwa wanataka baadhi ya team zitoke kwa maslahi yao ya biashara we hujasika huko jezi za messi zimeisha huko Adidas mzigo umekata na hicho ndio walikuwa wanataka kuna biashara nje ya kombe la dunia.Unawezaje kuiandaa timu halafu uruhusu timu pinzani ipindue matokeo na waende 120 na tena wafike kwenye matuta?
Penati zina mwenyewe?
Timu inaweza kundaliwa kwa mikwaju ya penati?
Vitu vingine vipo wazi kabisa jamani Messi alistahili na hata dunia imelitambua hilo,Messi amebebwa na uwezo binafsi si kwenye mechi ya fainali hii ni tokea miaka mingi nyuma
Mtu ana ballon d or 8 hadi sasa unamwona mtu wa kawaida huyo?..
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kweli wajinga hawawezi kuisha goli la Spain dhidi ya Japan mpira kabla Spain hawajafungwa ulikuwa umetoka nje ila refa akaminya ile penalty dhidi ya Netherlands na Argentina hata kipofu kaona ile ilikuwa nje ya box we unataka ushahidi gani mwingine kwamba hawa FIFA walikuwa na interest zao.Wajinga hawawezi kuisha duniani Chifu, huoni hata hapa jinsi yanavyokaza mafuvu hayo Mataahira [emoji848][emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Argentina huyu huyu si alifungwa na Saudi Arabia? Hao wachambuzi uliwasikia wakisema inawezekana career ya Messi akastaafu bila Kombe mbona hukuleta Uzi?Habari wadau.
Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara.
Safari ya Argentina Hadi kufika hapa imekuwa ya kubebwa hukunikihusisha matukio mbalimba ambayo yanaashiria Argentina na Messi waliandaliwa ubingwa Mapema.
Star wa Zamani wa Nigeria Julius Agahowa akitokea mfano penati ya Messi ,amesema Dembele hakumgusa Di Maria na Wala sio refa wa Kati Wala VAR iliyoamua tukio lililopelekea France kufingwa na kutolewa kwenye mchezo kabla ya kujitahidi dakika za Mwisho.
Aidha Dr.Leak akiwatetea Argentina alisema mpira pia una bahati maana Wachezaji wa France walikuwa wakiwa kwenye move ya goli refa badala aache fair play amekuwa akipuliza filimbj hivyo kuwapa nafasi Wapinzani kujipanga na kuvuruga chances za France Kufunga.
My Take.
Ukweli Ni usemwe Argentina amebebwa toka wapigwe na Saudia ili tuu Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara na wapiga dili na wacheza kamali.View attachment 2451636View attachment 2451871View attachment 2451872
Soma na hii ya kipa Bora Ni vituko na upuuzi mtupu.Timu Ronaldo naona mnatoa milio
Sawa south America ukitoa Brazil hamna team kule....kwani ulaya, ukitoa zile nçhi zinazotoka league tano bora duniani kuna team Kule???Msikie huyu nae [emoji16][emoji16][emoji16] hio 36 games unbeaten angekua anacheze Ulaya hata 30 wasingetoboa
South Amerca ukitoa Brazil hamnaga timu kali kali
By the way ilikua tu abebe kombe , the nature ilikua inambebe or else angelisikia tu
Dua zenu pia zilimbeba [emoji2]