Wachambuzi "Bingwa wa Kombe la Dunia Argentina aliandaliwa Mapema na Makusudi Kabisa ili Messi Ashinde"

Tubishane kwa hoja bhana haya mambo ya basketi boll yamejiletaje hapa๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Btw naeza nikawa naujua mpira kukuzidi hata wewe muone kwanza
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ thubutu mpira umeanza kufatilia juzi apa,tena wewe utakua shabiki wa citizens
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ thubutu mpira umeanza kufatilia juzi apa,tena wewe utakua shabiki wa citizens
Mkuu usiforce kila mtu aishi vile unavofikiria wewe๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Unatumia nguvu sana na hata mia hujapewa relax
 
Ingia mitandaoni uangalie huyo Penaldo kama anatrend? Dunia nzima kwa sasa inamzungumzia Messi

Unaongea ujinga ujinga tu hapa
 
nimerelax sana,wew shabiki mbappe ndo unatapatapa
Hata no vile ww unaona natapata bt i can assure u naenjoy kubishana na nyie hapa ni raha mno๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Panic at ur own risk
 
Hata no vile ww unaona natapata bt i can assure u naenjoy kubishana na nyie hapa ni raha mno๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Panic at ur own risk
wala hatubishani tunatoa hoja kwa hoja,afu kumbe wewe ni demu nkajua naongea na mtu mpira niue
 
Ingia mitandaoni uangalie huyo Penaldo kama anatrend? Dunia nzima kwa sasa inamzungumzia Messi

Unaongea ujinga ujinga tu hapa
Aah we nae angalia hii comment ya saa ngapi,

Watu hutrend muda maalum once muda ukipita hawatrend

Relaxx
 
Kwan demu bongo ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Futbol is for everybodyyy bru
wala hatubishani tunatoa hoja kwa hoja,afu kumbe wewe ni demu nkajua naongea na mtu mpira niue
 
Mwenye Ile picha ya Wafaranza kumi wa mchongo wakiwa pamoja wakati wa kupiga penati, tafadhali aiwekee hapa.
 
Unawezaje kuiandaa timu halafu uruhusu timu pinzani ipindue matokeo na waende 120 na tena wafike kwenye matuta?
Penati zina mwenyewe?
Timu inaweza kundaliwa kwa mikwaju ya penati?
Vitu vingine vipo wazi kabisa jamani Messi alistahili na hata dunia imelitambua hilo,Messi amebebwa na uwezo binafsi si kwenye mechi ya fainali hii ni tokea miaka mingi nyuma
Mtu ana ballon d or 8 hadi sasa unamwona mtu wa kawaida huyo?..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ