Wachambuzi "Bingwa wa Kombe la Dunia Argentina aliandaliwa Mapema na Makusudi Kabisa ili Messi Ashinde"

Nahitimisha kwa kusema pumbavu zao wanaosema argentina walibebwa...na je ile last minute penati ya france kwanini muamuz asingepeta ili argentina washinde...
 
Ishu sio kafungwa na muarabu

The case is mmebeba kombe ila nyie sio timu bora , kama mngekua timu bora magoli yasingekua yanarudishwa mercilessly

Angalia mlivocheza na uholanzi, any team winning thru penalties isn't a BIG TEAM


Ova

Na log off
Huu ni wivu wa kike
 
We uliona ile mechi ya Japan na Spain ule mpira ulitoka nje kabisa lakini VAR ikazimwa yaani FIFA walikuwa wanataka baadhi ya team zitoke kwa maslahi yao ya biashara we hujasika huko jezi za messi zimeisha huko Adidas mzigo umekata na hicho ndio walikuwa wanataka kuna biashara nje ya kombe la dunia.
 
Wajinga hawawezi kuisha duniani Chifu, huoni hata hapa jinsi yanavyokaza mafuvu hayo Mataahira [emoji848][emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kweli wajinga hawawezi kuisha goli la Spain dhidi ya Japan mpira kabla Spain hawajafungwa ulikuwa umetoka nje ila refa akaminya ile penalty dhidi ya Netherlands na Argentina hata kipofu kaona ile ilikuwa nje ya box we unataka ushahidi gani mwingine kwamba hawa FIFA walikuwa na interest zao.
 
Argentina pamoja na kuwaua watu weusi ili wasiwepo nchini kwao lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ubingwa wamechukua kihalali kabisa.

Kwa nini basi Ufaransa walipewa penati mbili katika muda wa kawaida wa mchezo? Je kwenye zile penati tano tano nani aliwazuia Ufaransa wasifunge penati zao?

Washangaeni wale wanaopewa PhD wakati hawana uhalali huo kisa watu wanaganga njaa zao. Very hopeless. Bravo to the Argentines.
 
Argentina huyu huyu si alifungwa na Saudi Arabia? Hao wachambuzi uliwasikia wakisema inawezekana career ya Messi akastaafu bila Kombe mbona hukuleta Uzi?
 
Sawa south America ukitoa Brazil hamna team kule....kwani ulaya, ukitoa zile nçhi zinazotoka league tano bora duniani kuna team Kule???

Poland? Swizland?wales? Haya kama ujeruma atokea wapi??? Aya kavuka group stage huyo German?? Italy hata hakufuzu, Spain kafanya nn??? Asee kuishi kwa kukalili ni mtihani pia

Mexico, Columbia Na Chile mbona sawa tu Na team nyingi za ulaya

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…