Wachambuzi bora watano wa soka nchini

Hapo Wachambuzi Ni Wawili Tu Dr. Leakey Abdallah Na Haji Manara Waliobaki Ni Waganga Njaa Tu Na Watangazaji Wa Kisanii Tupu.
 
Tatizo wabongo kila sehemu siasa tuu.
Taifa stars wangekuwa wanawatumia hawa wazawa kama kina dr.leaky mwl. Kashasha etc kwenye dawati la ufundi ingekuwa fresh sana tusikimbilie ngozi nyeupe mimi binafsi nakuwa very comfortable nikifundishwa na mwalimu mzawa mnaelewana lugha unakuwa huru kuuliza usipoelewa etc tuigeni mfano wa timu ya nigeria jamani steven keshi anavopika vijana.
 
Kwangu mimi mchambuzi bora ni yule anayekuwa na TBC anaitwa Kashasha kama sikosei. Huyu mtu yuko very technical na very knowlegeable.

Hao niliowataja hujawahi mshihudia hata mmoja nadhani
 
Mkuu hivi ni vitu viwili tofauti tena tofaut sana kuchambua mpira sio kua kocha.ukocha ni proffesional,uchambuz nikujua mambo mambo tu ya mpira...
 
Mkuu hivi ni vitu viwili tofauti tena tofaut sana kuchambua mpira sio kua kocha.ukocha ni proffesional,uchambuz nikujua mambo mambo tu ya mpira...

Hapana mkuu mimi sikubaliani na wewe kabisa mtu anapochambua huwa anatoa tactics flani flani ambazo zingefatwa zingetoa good results sasa hao wachambuzi hao wenye kujua hizo mambo ndo wanaotakiwa kwenye timu watoe ushauri na inapendeza sana
 
Mtoe shaffii na mzee ricky awe watano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…