mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,003
Kwa list hii kama kuna mchambuzi mzuri ni mmoja tu wengi hamna kitu hasa Shafii Dauda huyu si mchambuzi bali ni mtu anayesoma tu historia na vibweka vya mpira. Wengi hapo unakuta anaulizwa afafanue goli lilivyofungwa anaanza kuongea goli kama hili linanikumbusha mwaka flani lilifungwa na mchezaji flani mwenye kilo flani na urefu flan aliyezaliwa nchi flani yani hawezi kusema kitaalamu goli lilivyofungwa zaidi ya kunukuu historia