Tatizo wabongo kila sehemu siasa tuu.
Taifa stars wangekuwa wanawatumia hawa wazawa kama kina dr.leaky mwl. Kashasha etc kwenye dawati la ufundi ingekuwa fresh sana tusikimbilie ngozi nyeupe mimi binafsi nakuwa very comfortable nikifundishwa na mwalimu mzawa mnaelewana lugha unakuwa huru kuuliza usipoelewa etc tuigeni mfano wa timu ya nigeria jamani steven keshi anavopika vijana.
Hapana mkuu mimi sikubaliani na wewe kabisa mtu anapochambua huwa anatoa tactics flani flani ambazo zingefatwa zingetoa good results sasa hao wachambuzi hao wenye kujua hizo mambo ndo wanaotakiwa kwenye timu watoe ushauri na inapendeza sana
Dr. Leaky uchabuzi wake haupo technically sana kama ulishamfuatilia vizuri. Yeye anaweza kutoa historia pia na reaction za mashabiki kwa timu fulani. Pia kinachoonekana anajua kuchambua ni kwasababu anapenda sana mpira na ni mmoja ya watanzania ambaye mara nyingi anaweza kusafiri kwenda Ulaya kuangalia gemu fulani mfano hizi za Champions League au Euro na WC. Kwahiyo uzoefu wake ndio unasabaisha hivyo.Hapo Wachambuzi Ni Wawili Tu Dr. Leakey Abdallah Na Haji Manara Waliobaki Ni Waganga Njaa Tu Na Watangazaji Wa Kisanii Tupu.
Tofautisha uchambuzi wa soka NA benchi LA ufundi. Uchambuzi wa soka haina vyeti. Benchi LA ufundi" Mwl wa mpira" MTU anasoma. Sports analysts ni jinsi unavyouelewa mchezo. Angalia hata wakitakiwa kubashiri matokeo huwa wanakosea. Football is a great science
Dr. Leaky uchabuzi wake haupo technically sana kama ulishamfuatilia vizuri. Yeye anaweza kutoa historia pia na reaction za mashabiki kwa timu fulani. Pia kinachoonekana anajua kuchambua ni kwasababu anapenda sana mpira na ni mmoja ya watanzania ambaye mara nyingi anaweza kusafiri kwenda Ulaya kuangalia gemu fulani mfano hizi za Champions League au Euro na WC. Kwahiyo uzoefu wake ndio unasabaisha hivyo.
Lakini kwenye ufundi zaidi Mwl. Kashasha ni zaidi ya wote kwa mtazamo wangu. Yule mzee nimemfuatilia sana. Akiangalia mpira dakika 15 tu anaweza kutabiri timu inafungwa kama haitabadili mfumo fulani. Aisee jaribu kumfuatilia huyu mzee huwa ananipa raha sana jinsi alivyo technically.
Eddo Kumwembe pia ni mzuri
Jeff Leya nae ni mzuri
Manara namkubali
Shafii Dauda bado sana huyu
Kwangu mimi mchambuzi bora ni yule anayekuwa na TBC anaitwa Kashasha kama sikosei. Huyu mtu yuko very technical na very knowlegeable.
kashasha ni noma asee, anajua kuchambua soka
jane john wa TBC1
kibonde mweupe tu hana lolote atakua anajua kla kitu yy kasoma nn.
Dr. Leaky uchabuzi wake haupo technically sana kama ulishamfuatilia vizuri. Yeye anaweza kutoa historia pia na reaction za mashabiki kwa timu fulani. Pia kinachoonekana anajua kuchambua ni kwasababu anapenda sana mpira na ni mmoja ya watanzania ambaye mara nyingi anaweza kusafiri kwenda Ulaya kuangalia gemu fulani mfano hizi za Champions League au Euro na WC. Kwahiyo uzoefu wake ndio unasabaisha hivyo.
Lakini kwenye ufundi zaidi Mwl. Kashasha ni zaidi ya wote kwa mtazamo wangu. Yule mzee nimemfuatilia sana. Akiangalia mpira dakika 15 tu anaweza kutabiri timu inafungwa kama haitabadili mfumo fulani. Aisee jaribu kumfuatilia huyu mzee huwa ananipa raha sana jinsi alivyo technically.
Eddo Kumwembe pia ni mzuri
Jeff Leya nae ni mzuri
Manara namkubali
Shafii Dauda bado sana huyu
Leak hafai ata kuwemo kwenye hiyo list achilia mbali kumuweka namba 1, anachojua ni historia tu
anajua sana jamaa bt yeye kwa taaluma ni mwalimu katika soka na sio mchambuzi
Kwa hiyo kujua vitu lazima uende ukasome?