chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao wamefanikiwa kuondoa kizazi cha wasema hovyo katika mpira, na usemaji sasa ni proffession kamili kabisa kama lengo la FIFA na TFF lilivyotaka
Wachambuzi wanasema Manara apelekwe idara ya wanachama huko, panamfaa..
Ally Kamwe alipata mshituko juzi baada ya kuona babu kikongwe akiingia katika ofisi za idara na kuanza kusalimia, akitaka kufanya kazi, bila barua yoyote ya kumtambulisha kwamba karudi kazini.
Kama ilivyo kwa watoto wakiona mtu mwenye sura iliyoporomoka kama tope la Uyole Mbeya wakati wa masika, kijana aliingiwa na hofu kubwa, akawa anakumbuka zile muvi za Nsyuka na Mazombi.
Baadhi wanasema kwamba, kinachofanyika ninsawa na kuwakuta akina Kamwe na Priva wananata na biti za nyimbo ya Komasava, halafu Manara anaingia anaomba awekewe wimbo wa enzi zake kama Twist, au Msondo Ngoma.
#GenerationKomasava.