Wachambuzi mnisaidie: Hii vita SMO ya Russia ukiendelea miaka miwili ijayo huku Ukraine anasaidiwa na Dunia nzima, Nini kitatokea?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
JE Russia ataishiwa silaha.?
Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin.

JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US kuizima Kiev Kwa Nyuklia kama Hiroshima mchezo uishe.

JE, Russia anareserve ya kutosha ya silaha kupigana hata miaka kumi huku adui akiwa na masponsor Dunia nzima. ( Hili ninamashaka maana nimeona video maengineer wa kirusi wanahariri vifaru vya kizamani viende vitani na nimeona kapokeamsaafawa vifaru 20.

Nini maoni yako.

Mimi ni pro Russia Kwa kichinichini
 
Wewe ni NATO. Umekosea kusema Ukrein anapokea msaada dunia nzima. Unaijua dunia nzima wewe?

Hata ukiiondoa Urusi tu tayari siyo dunia nzima tena.

Afrika na Amerka kusini hawako na Ukren.

Asia yote kasoro Japan na Korea kusini hawako naye.

Sasa unasemaje dunia nzima?

Pro NATO mnaweweseka sana.
 
Ukisema africa wkt kuna nchi africa wana support ukraine. Rejea kura za juzi AU
 
Huko jamaa wanamlia time. Leo wamemwambia akitumia nyuklia tu jeshi lake linafutika. Na wameanza kupeleka mifumo ya anga huko. Mwisho wa siku watafunga anga la ukraine.

Make wamemuona Putin ni sawa na mandonga tu Hana lolote
 
Kwani vita maana yake nini?
 
Wewe ni NATO. Umekosea kusema Ukrein anapokea msaada dunia nzima. Unaijua dunia nzima wewe?

Hata ukiiondoa Urusi tu tayari siyo dunia nzima tena.

Afrika na Amerka kusini hawako na Ukren.

Asia yote kasoro Japan na Korea kusini hawako naye.

Sasa unasemaje dunia nzima?

Pro NATO mnaweweseka sana.
Hata wewe umeandika kishabiki kutokana na mahaba uliyo nayo kwa Russia
 
Huko jamaa wanamlia time. Leo wamemwambia akitumia nyuklia tu jeshi lake linafutika. Na wameanza kupeleka mifumo ya anga huko. Mwisho wa siku watafunga anga la ukraine.

Make wamemuona Putin ni sawa na mandonga tu Hana lolote
Hivyo vimifumo vinavyopigwa na drone za shahed
 
Huko jamaa wanamlia time. Leo wamemwambia akitumia nyuklia tu jeshi lake linafutika. Na wameanza kupeleka mifumo ya anga huko. Mwisho wa siku watafunga anga la ukraine.

Make wamemuona Putin ni sawa na mandonga tu Hana lolote
Hujui brinkmanship inavyotumika kwenye Geopolitics
Hatma ya hii Vita, inaamuliwa Kremlin

Ilikua aidha waende mdogo mdogo wakilinda miundo mbinu na raia, au waweke ubinadam pembeni na wapambane kama vita inavyotaka

Vita ni mbaya, na kadri inavyozidi kuwa mbaya na hatari ndio inavyowahi isha

Ndio Russia walicho amua now, ili vita iishe haraka damage kwa udai inabidi iwe kubwa

So now angalia kitakachotokea

Na hakuna Marekani wala nchi yoyote ya Ulaya magharibi itakayo ingilia zaidi ya kutuma silaha zaidi

Otherwise wawe wajinga kupita kiasi ku risk WW3 kwa nchi isiyo na maslahi yoyote kwao
 
JE Russia ataishiwa silaha.?
Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin.

JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US kuizima Kiev Kwa Nyuklia kama Hiroshima mchezo uishe.

JE, Russia anareserve ya kutosha ya silaha kupigana hata miaka kumi huku adui akiwa na masponsor Dunia nzima. ( Hili ninamashaka maana nimeona video maengineer wa kirusi wanahariri vifaru vya kizamani viende vitani na nimeona kapokeamsaafawa vifaru 20.

Nini maoni yako.

Mimi ni pro Russia Kwa kichinichini
Asante kwa post nzuri ya kufikirisha!
Vita haiwezi kuendelea mbele hadi miaka miwili! Mabeberu huwa wanaangalia maslahi yao tu!! Kwa sasa wanaiendekeza ukraine maana ni soko zuri la biashara ya silaha! Ni kweli kuwa Urusi haiwezi kuwa na akiba ya silaha kwa miaka yote miwili! Ujue hadi sasa kina shehena kubwa ya silaha kubwa kubwa hawawezi kuitumia ikiwa ni akiba kama ikitokea vita kati ya NATO na Urusi!! Wakiona silaha walizozitenga dhidi ya ukraine zinataka kuisha, wataimaliza vita kwa kuipiga ukraine kikatili sana kwa kutumia silaha nzito (si nyuklia), na ukraine watalazimika kusalimu amri!! na NATO hawawezi kusogeza pua hapo!! Jumatatu alionjesha kidogo kikatokea kilio dunia nzima!! akifululiza hivyo wiki moja hakutakuwa na jengo kiev!!
 
Huko jamaa wanamlia time. Leo wamemwambia akitumia nyuklia tu jeshi lake linafutika. Na wameanza kupeleka mifumo ya anga huko. Mwisho wa siku watafunga anga la ukraine.

Make wamemuona Putin ni sawa na mandonga tu Hana lolote
Hujui brinkmanship inavyotumika kwenye Geopolitics
Hatma ya hii Vita, inaamuliwa Kremlin

Ilikua aidha waende mdogo mdogo wakilinda miundo mbinu na raia, au waweke ubinadam pembeni na wapambane kama vita inavyotaka

Vita ni mbaya, na kadri inavyozidi kuwa mbaya na hatari ndio inavyowahi isha

Ndio Russia walicho amua now, ili vita iishe haraka damage kwa udai inabidi iwe kubwa

So now angalia kitakachotokea

Na hakuna Marekani wala nchi yoyote ya Ulaya magharibi itakayo ingilia zaidi ya kutuma silaha zaidi

Otherwise wawe wajinga kupita kiasi ku risk WW3 kwa nchi isiyo na maslahi yoyote kwao
 
Vita haiwezi fika Kremlin.

Maana mpaka iingie Moscow, dunia itakua taabani kwa siraha nzito, sidhani kama unaweza tekwa still ukiwa na Siraha nzito...watazitumia.
Urusi wana sera isemayo: Escalate to deescalate!! Kwa lugha ya mitaani: Piga kikatili sana ili vita iishie hapo! Kwa ukraine urusi inaweza kutekeleza sera hiyo bila kutumia silaha za nyuklia!! Wana bomu wanaliita "the Father of all bombs". Lina maelfu ya tani, likitupiwa mahali panageuka majivu!!
 
Tutegemee anguko la kiuchumi kwa nchi hzo zote mbili.. ila mwsho wa siku mmoja atanyoosha mikono atakapo anza kufirisika
 
Zaidi ya kutoa silaha, West hawawezi kutuma vikosi vyao wakafe, hiyo ondoa kabisa
Ingekuwa Zimbabwe sijui wap huko wangepeleka, ila siyo Russia mana wanajua muziki wake
 
Back
Top Bottom