matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Vita haiwezi fika Kremlin.
Maana mpaka iingie Moscow, dunia itakua taabani kwa siraha nzito, sidhani kama unaweza tekwa still ukiwa na Siraha nzito...watazitumia.
Ukisema africa wkt kuna nchi africa wana support ukraine. Rejea kura za juzi AUWewe ni NATO. Umekosea kusema Ukrein anapokea msaada dunia nzima. Unaijua dunia nzima wewe?
Hata ukiiondoa Urusi tu tayari siyo dunia nzima tena.
Afrika na Amerka kusini hawako na Ukren.
Asia yote kasoro Japan na Korea kusini hawako naye.
Sasa unasemaje dunia nzima?
Pro NATO mnaweweseka sana.
Hii vita kila mtu ana upande wake, wala hamna aliye neutral. Usitegemee kufurahishwa hapa JamiiForums, jifunze kujitengenezea furaha yako mwenyewe kutoka katikati ya sentensi zenye kukuudhi na kukukeraPost nzuri ila mstari wa mwisho umeniudhi kushabikia Kremlin
Kwani vita maana yake nini?Huko jamaa wanamlia time. Leo wamemwambia akitumia nyuklia tu jeshi lake linafutika. Na wameanza kupeleka mifumo ya anga huko. Mwisho wa siku watafunga anga la ukraine.
Make wamemuona Putin ni sawa na mandonga tu Hana lolote
Walihongwa we ukisikia?Ukisema africa wkt kuna nchi africa wana support ukraine. Rejea kura za juzi AU
Hako kamfumo fake ka ujerumani chenye 45km?Huko jamaa wanamlia time. Leo wamemwambia akitumia nyuklia tu jeshi lake linafutika. Na wameanza kupeleka mifumo ya anga huko. Mwisho wa siku watafunga anga la ukraine.
Make wamemuona Putin ni sawa na mandonga tu Hana lolote
Hata wewe umeandika kishabiki kutokana na mahaba uliyo nayo kwa RussiaWewe ni NATO. Umekosea kusema Ukrein anapokea msaada dunia nzima. Unaijua dunia nzima wewe?
Hata ukiiondoa Urusi tu tayari siyo dunia nzima tena.
Afrika na Amerka kusini hawako na Ukren.
Asia yote kasoro Japan na Korea kusini hawako naye.
Sasa unasemaje dunia nzima?
Pro NATO mnaweweseka sana.
Walihongwa na nani? Una udhibitisho?Walihongwa we ukisikia?
Hivyo vimifumo vinavyopigwa na drone za shahedHuko jamaa wanamlia time. Leo wamemwambia akitumia nyuklia tu jeshi lake linafutika. Na wameanza kupeleka mifumo ya anga huko. Mwisho wa siku watafunga anga la ukraine.
Make wamemuona Putin ni sawa na mandonga tu Hana lolote
Hujui brinkmanship inavyotumika kwenye GeopoliticsHuko jamaa wanamlia time. Leo wamemwambia akitumia nyuklia tu jeshi lake linafutika. Na wameanza kupeleka mifumo ya anga huko. Mwisho wa siku watafunga anga la ukraine.
Make wamemuona Putin ni sawa na mandonga tu Hana lolote
Asante kwa post nzuri ya kufikirisha!JE Russia ataishiwa silaha.?
Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin.
JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US kuizima Kiev Kwa Nyuklia kama Hiroshima mchezo uishe.
JE, Russia anareserve ya kutosha ya silaha kupigana hata miaka kumi huku adui akiwa na masponsor Dunia nzima. ( Hili ninamashaka maana nimeona video maengineer wa kirusi wanahariri vifaru vya kizamani viende vitani na nimeona kapokeamsaafawa vifaru 20.
Nini maoni yako.
Mimi ni pro Russia Kwa kichinichini
Hujui brinkmanship inavyotumika kwenye GeopoliticsHuko jamaa wanamlia time. Leo wamemwambia akitumia nyuklia tu jeshi lake linafutika. Na wameanza kupeleka mifumo ya anga huko. Mwisho wa siku watafunga anga la ukraine.
Make wamemuona Putin ni sawa na mandonga tu Hana lolote
Urusi wana sera isemayo: Escalate to deescalate!! Kwa lugha ya mitaani: Piga kikatili sana ili vita iishie hapo! Kwa ukraine urusi inaweza kutekeleza sera hiyo bila kutumia silaha za nyuklia!! Wana bomu wanaliita "the Father of all bombs". Lina maelfu ya tani, likitupiwa mahali panageuka majivu!!Vita haiwezi fika Kremlin.
Maana mpaka iingie Moscow, dunia itakua taabani kwa siraha nzito, sidhani kama unaweza tekwa still ukiwa na Siraha nzito...watazitumia.