kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mpira ni mchezo wa wazi uliokunyanya wadau wengi sana wanaoufuatilia, hivyo sio hekima kwa mtu asiyekuwa na weledi wa uchambuzi na uwandishi wa mpira akajichambulia na kujiandikia kwa kuongozwa na mahaba na chuki kwa timu hii na Ile.
Mpira wetu Sasa unapiga hatua kubwa kitaifa na kimataifa, ligi yetu in ya 5 kwa ubora Africa, hivyo inahitaji watu wa mpira wenye weledi mkubwa wanaoweza kusimamia ligi yenye timu zilizowekeza pesa nyingi kupata makocha Bora, wachezaji ghali wa ndani na wageni.
Mpira wa Sasa unahitaji uongozi, waandishi na mashibiki wanaoufahamu mpira na njia zake na sio viongozi, wachambuzi, na waamuzi wa hovyohovyo kama tuliowazoea misimu iliyopita.
Wachambuzi lazima wawe na association Yao inayosimamia maadili na tabia ambazo ni unsporting. Chombo ambacho kinaweza kuonya na kutoa adhabu mwa mchambuzi na mwandishi wa habari za michezo (regulator) kuliko ilivyo Sasa watu wanajiandia na kujiropokea chochote kwenye vyombo vya habari ambavyo ni regulated.
Bahati mbaya regulators wa vyombo hivi vya habari vinaangalia tu mambo ya viongozi wa siasa na TFF wasisemwe vibaya TU lakini havisaidii clubs, coaches, na players wanaposemwa vibaya na kuandamwa na wachambuzi na waandishi uchwara kwasababu na maoni Yao binafsi kwa lengo la kuwavunja moyo na kuwakatisha tamaa.