Prisca sio mchambuzi ni mtangazaji.Prisca kishamba empty head pale, yeye ni kuiongelea akaunti yake tu instagram sijawahi mkubali,nilimuonea huruma siku moja tu manara alivyomtoa nduki..Priva abiud anapenda kudakia story,mwenzie hajamaliza kuongea naye anaongea,thanks kwa kiemba uwa anamshushua kwa facts. Kibwana anajua sana
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kule efm waongoza kipindi ndio vioja kweli kweli makelele mengi kuchekacheka ovyo wanazidiwa mno na wale wa wasafi fm wana utulivu mpaka unasema yes hapa kweli nasikiliza uchambuzi wa michezoTuwachambue wachambuzi wetu wa soka
Nasikia wanaingia sana JF kusikilizia pale tunapo wachambua na wao
Mimi naanza na wachambuzi wa Clouds Media haswa Sports Extra
WAONGOZAJI ni
Prisca Kishamba
Alex Lwambano
Mkazuzu
WACHAMBUZI
Shafii Dauda
Edgar Kibwana
Coutinho
Yahaya Njenge
Amri Kihemba
Privaldinho
Faram Kihamwe
Issa Marda
James Turpa Turpa
Kwa waongozaji sina neno nao sana wanajitahidi ingawaje Prisca anaoneka mweupe kiaina na Lwambano ni mswahili sana(anafurahisha) yaani huwa anawakilisha mawazo ya wale mashabiki wa kawaida kabisa kwa jinsi anayofanyaga assumptions zake
WACHAMBUZI
Privaldinho
Itoshe tu kusema hamna kitu pale zaidi ya kuremba remba sauti na ujuaji
Haka kajamaa bora kaende tu kwenye field yake ya sheria, huku miyeyusho sana
Coutinho
Huyu anaijua vizuri sana basketball na yuko vizuri kuichambua
Ni mmoja wa wachambuzi wa ki theory zaidi kuliko FACTS, anaonekana yupo vizuri ila anakuaga bias linapokuja swala la Liverpool
Edgar Kibwana
Mzee wa what a game, what a come back, what a goal[emoji23][emoji23]
Huyu bwana kwa kutaja kiufasaha majina ya vilabu haswa vya italiano mbona utampenda
Kiujumla ni mjanja mjanja flani hivi kwenye uchambuzi na ana vitakwimu fulani hivi
Yahya Njenge, Farahn Kihamwe na Issa Maeda
Hawani ni aina ya wachambuzi wa kujenga sana theory kuliko uhalisia
Wakianza porojo za kwa nini Simba haifungi yaani atatengeneza equation, formula, ikapanda ikashuka sijui mfumo tactical effect yaani blah blah mingiiiii
Amri Kiemba
Huyu ndio mtu pekee pale clouds media anajua kuchambua mpira wa miguu kwa FACTS au Professional opinion.
Ligi ya kibongo anachambua kwa fact haswa nakitaalamu bila kuvuta maneno mengii, anakua mtamu zaidi muongozaji akiwa Lwambano halafu aanze kumchagiza kuhusu ligi za bongo na figisu zake
Shaffi Dauda
Mzee wa controversial
Ujuaji mwingii
Anaweza akatoa mtazamo wake bongo nzima ikasimama kumjadili, akina Manara wataitisha hadi na media
anajitahidi kiasi chake
James Turpa Turpa[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni comedian
Kama unataka kupata habari za michezo kikomedi basi huyu jamaa atakufaa
Nini maoni yako?
Mchambuzi mdaku huyo.Naomba kufahamu Ricadomomo naye ni mchambuzi?
Ukimto Alex aluambano hapo hakuna wamaana hata mmoja wamaana.Kwa waongozaji:
1. Alex Lwambano (Clouds FM)
Jamaa anajua kuiteka hadhira. Huongea kwa lugha rahisi na uchagizaji wake huwakilisha maoni ya mashabiki wengi wa mpira. Namkubali sana.
2. Maulid Kitenge (E FM)
Mwamba anajua, ana vionjo vingi vya kumteka msikilizaji. Namkubali ila siku hizi kapungunza utulivu kidogo.
3. Tunu Hassan Shenkome ( E FM)
Mdada yuko vizuri, huleta mada flani tata ambapo akina Oscar huingia kichwakichwa! Namfananisha na Lwambano kwa clouds.
5. Prischa Kishamba (Clouds FM) .. wa kawaida.
6. Mwanaidi Suleiman (Wasaf FM)
Huyu amna kitu kabisa zaidi ya kuchekacheka.
7. Yusuf Mkule (Wasaf FM )
Anajitahidi ila bado ana mengi ya kujifunza, pia apunguze kumuiga Kitenge.
Naomba kufahamu Ricadomomo naye ni mchambuzi?
Mbwiga yopo times fmWanogeshaji.
1. Ricardo Momo - Wasaf Fm
Segment yake kwenye kipindi (Za Ndani) inavutia sana. Ni kama segment ya U Heard ya XXL
2. Mbwiga Mbwiguke
Sijui yu wapi ila kipindi yuko Clouds alitisha sana
Tetesi 😀😀😀😀🙌🙌Aisee kuna jamaa wa RFA anaitwa Dickson Mpilipili nae anajitahidi kwakweli.
Privaldinho anapiga sana kelele redioni na hakuna cha maana anachoongea, ajikite kuandika "tetesi" zinamfaa sana, yaani apite mule kwa F.Romano, Micky Jnr, Nuhu Adams, atatoboa zaidi
Huyo Priva yeye kazi yake kugoogle tu hajui hata mpira.Ukiwa mjanja mjanja wa maneno mengi na kukariri majina ya timu na wachezaji wa soka kama Priva unakua mchambuzi wa soka.
Uchale umekuwa mwingi tafauti na AmbangileUko sahihi ila Ali kamwe anaharibika siku hizi kumuiga Oscar ukatuni.
Wachambuzi hamna bali michongo wanapeana tu huko sababu wanajuana, Tanzania tuna wachezaji kibao waliocheza ligi kuu wamestaafu, ila hapewi kazi za uchambuzi,nilipo choka zaidi mpaka Salama Jabir nae alikuwa mchambuzi AFCON. Hii inchi kama huna connection kutoka utachelewa sana.Tuwachambue wachambuzi wetu wa soka
Nasikia wanaingia sana JF kusikilizia pale tunapo wachambua na wao
Mimi naanza na wachambuzi wa Clouds Media haswa Sports Extra
WAONGOZAJI ni
Prisca Kishamba
Alex Lwambano
Mkazuzu
WACHAMBUZI
Shafii Dauda
Edgar Kibwana
Coutinho
Yahaya Njenge
Amri Kihemba
Privaldinho
Faram Kihamwe
Issa Marda
James Turpa Turpa
RIPOTA
Mkomwa
Kwa waongozaji sina neno nao sana wanajitahidi ingawaje Prisca anaoneka mweupe kiaina na Lwambano ni mswahili sana(anafurahisha) yaani huwa anawakilisha mawazo ya wale mashabiki wa kawaida kabisa kwa jinsi anayofanyaga assumptions zake
WACHAMBUZI
Privaldinho
Itoshe tu kusema hamna kitu pale zaidi ya kuremba remba sauti na ujuaji
Haka kajamaa bora kaende tu kwenye field yake ya sheria, huku miyeyusho sana
Coutinho
Huyu anaijua vizuri sana basketball na yuko vizuri kuichambua
Ni mmoja wa wachambuzi wa ki theory zaidi kuliko FACTS, anaonekana yupo vizuri ila anakuaga bias linapokuja swala la Liverpool
Edgar Kibwana
Mzee wa what a game, what a come back, what a goal[emoji23][emoji23]
Huyu bwana kwa kutaja kiufasaha majina ya vilabu haswa vya italiano mbona utampenda
Kiujumla ni mjanja mjanja flani hivi kwenye uchambuzi na ana vitakwimu fulani hivi
Yahya Njenge, Farahn Kihamwe na Issa Maeda
Hawani ni aina ya wachambuzi wa kujenga sana theory kuliko uhalisia
Wakianza porojo za kwa nini Simba haifungi yaani atatengeneza equation, formula, ikapanda ikashuka sijui mfumo tactical effect yaani blah blah mingiiiii
Amri Kiemba
Huyu ndio mtu pekee pale clouds media anajua kuchambua mpira wa miguu kwa FACTS au Professional opinion.
Ligi ya kibongo anachambua kwa fact haswa nakitaalamu bila kuvuta maneno mengii, anakua mtamu zaidi muongozaji akiwa Lwambano halafu aanze kumchagiza kuhusu ligi za bongo na figisu zake
Shaffi Dauda
Mzee wa controversial
Ujuaji mwingii
Anaweza akatoa mtazamo wake bongo nzima ikasimama kumjadili, akina Manara wataitisha hadi na media
anajitahidi kiasi chake
James Turpa Turpa[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni comedian
Kama unataka kupata habari za michezo kikomedi basi huyu jamaa atakufaa
Mkomwa
Huyu mshkaji ni ripota mzuri sana kwenye vijiwe vya maahabiki na wauza magazeti
Nini maoni yako?
Amri kiemba muda wote ni kucheka cheka tu.wachambuzi wengi uliowataja hawajui kabisa kutamka majina ya timu au wachezaji,hasa kutoka ujerumani,spain au italy.shafi dauda ni zuzu wa hali ya juu,ni wale ambao kwa kswahili tunawaita debe tupu hutoa kelele nyingiTuwachambue wachambuzi wetu wa soka
Nasikia wanaingia sana JF kusikilizia pale tunapo wachambua na wao
Mimi naanza na wachambuzi wa Clouds Media haswa Sports Extra
WAONGOZAJI ni
Prisca Kishamba
Alex Lwambano
Mkazuzu
WACHAMBUZI
Shafii Dauda
Edgar Kibwana
Coutinho
Yahaya Njenge
Amri Kihemba
Privaldinho
Faram Kihamwe
Issa Marda
James Turpa Turpa
RIPOTA
Mkomwa
Kwa waongozaji sina neno nao sana wanajitahidi ingawaje Prisca anaoneka mweupe kiaina na Lwambano ni mswahili sana(anafurahisha) yaani huwa anawakilisha mawazo ya wale mashabiki wa kawaida kabisa kwa jinsi anayofanyaga assumptions zake
WACHAMBUZI
Privaldinho
Itoshe tu kusema hamna kitu pale zaidi ya kuremba remba sauti na ujuaji
Haka kajamaa bora kaende tu kwenye field yake ya sheria, huku miyeyusho sana
Coutinho
Huyu anaijua vizuri sana basketball na yuko vizuri kuichambua
Ni mmoja wa wachambuzi wa ki theory zaidi kuliko FACTS, anaonekana yupo vizuri ila anakuaga bias linapokuja swala la Liverpool
Edgar Kibwana
Mzee wa what a game, what a come back, what a goal[emoji23][emoji23]
Huyu bwana kwa kutaja kiufasaha majina ya vilabu haswa vya italiano mbona utampenda
Kiujumla ni mjanja mjanja flani hivi kwenye uchambuzi na ana vitakwimu fulani hivi
Yahya Njenge, Farahn Kihamwe na Issa Maeda
Hawani ni aina ya wachambuzi wa kujenga sana theory kuliko uhalisia
Wakianza porojo za kwa nini Simba haifungi yaani atatengeneza equation, formula, ikapanda ikashuka sijui mfumo tactical effect yaani blah blah mingiiiii
Amri Kiemba
Huyu ndio mtu pekee pale clouds media anajua kuchambua mpira wa miguu kwa FACTS au Professional opinion.
Ligi ya kibongo anachambua kwa fact haswa nakitaalamu bila kuvuta maneno mengii, anakua mtamu zaidi muongozaji akiwa Lwambano halafu aanze kumchagiza kuhusu ligi za bongo na figisu zake
Shaffi Dauda
Mzee wa controversial
Ujuaji mwingii
Anaweza akatoa mtazamo wake bongo nzima ikasimama kumjadili, akina Manara wataitisha hadi na media
anajitahidi kiasi chake
James Turpa Turpa[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni comedian
Kama unataka kupata habari za michezo kikomedi basi huyu jamaa atakufaa
Mkomwa
Huyu mshkaji ni ripota mzuri sana kwenye vijiwe vya maahabiki na wauza magazeti
Nini maoni yako?
Huyo ni mzee wa kudereNaomba kufahamu Ricadomomo naye ni mchambuzi?
Kwa Shafii Dauda toa huo mstari wa mwisho unamkweza bure. Huyo si Mchambuzi ni mshangiliaji Tu hata ushabiki hawezi.Tuwachambue wachambuzi wetu wa soka
Nasikia wanaingia sana JF kusikilizia pale tunapo wachambua na wao
Mimi naanza na wachambuzi wa Clouds Media haswa Sports Extra
WAONGOZAJI ni
Prisca Kishamba
Alex Lwambano
Mkazuzu
WACHAMBUZI
Shafii Dauda
Edgar Kibwana
Coutinho
Yahaya Njenge
Amri Kihemba
Privaldinho
Faram Kihamwe
Issa Marda
James Turpa Turpa
RIPOTA
Mkomwa
Kwa waongozaji sina neno nao sana wanajitahidi ingawaje Prisca anaoneka mweupe kiaina na Lwambano ni mswahili sana(anafurahisha) yaani huwa anawakilisha mawazo ya wale mashabiki wa kawaida kabisa kwa jinsi anayofanyaga assumptions zake
WACHAMBUZI
Privaldinho
Itoshe tu kusema hamna kitu pale zaidi ya kuremba remba sauti na ujuaji
Haka kajamaa bora kaende tu kwenye field yake ya sheria, huku miyeyusho sana
Coutinho
Huyu anaijua vizuri sana basketball na yuko vizuri kuichambua
Ni mmoja wa wachambuzi wa ki theory zaidi kuliko FACTS, anaonekana yupo vizuri ila anakuaga bias linapokuja swala la Liverpool
Edgar Kibwana
Mzee wa what a game, what a come back, what a goal[emoji23][emoji23]
Huyu bwana kwa kutaja kiufasaha majina ya vilabu haswa vya italiano mbona utampenda
Kiujumla ni mjanja mjanja flani hivi kwenye uchambuzi na ana vitakwimu fulani hivi
Yahya Njenge, Farahn Kihamwe na Issa Maeda
Hawani ni aina ya wachambuzi wa kujenga sana theory kuliko uhalisia
Wakianza porojo za kwa nini Simba haifungi yaani atatengeneza equation, formula, ikapanda ikashuka sijui mfumo tactical effect yaani blah blah mingiiiii
Amri Kiemba
Huyu ndio mtu pekee pale clouds media anajua kuchambua mpira wa miguu kwa FACTS au Professional opinion.
Ligi ya kibongo anachambua kwa fact haswa nakitaalamu bila kuvuta maneno mengii, anakua mtamu zaidi muongozaji akiwa Lwambano halafu aanze kumchagiza kuhusu ligi za bongo na figisu zake
Shaffi Dauda
Mzee wa controversial
Ujuaji mwingii
Anaweza akatoa mtazamo wake bongo nzima ikasimama kumjadili, akina Manara wataitisha hadi na media
anajitahidi kiasi chake
James Turpa Turpa[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni comedian
Kama unataka kupata habari za michezo kikomedi basi huyu jamaa atakufaa
Mkomwa
Huyu mshkaji ni ripota mzuri sana kwenye vijiwe vya maahabiki na wauza magazeti
Nini maoni yako?
Acha utani hivi unamjua Edo kweli wewe??Huyo jamaa namkubali sana,akina Edo Kumwembe huwa wanapitia jamaa anapopita!He is clever!