Wachambuzi pia huchambuliwa

Wachambuzi pia huchambuliwa

Prisca kishamba empty head pale, yeye ni kuiongelea akaunti yake tu instagram sijawahi mkubali,nilimuonea huruma siku moja tu manara alivyomtoa nduki..Priva abiud anapenda kudakia story,mwenzie hajamaliza kuongea naye anaongea,thanks kwa kiemba uwa anamshushua kwa facts. Kibwana anajua sana

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Prisca sio mchambuzi ni mtangazaji.
 
Tuwachambue wachambuzi wetu wa soka
Nasikia wanaingia sana JF kusikilizia pale tunapo wachambua na wao

Mimi naanza na wachambuzi wa Clouds Media haswa Sports Extra

WAONGOZAJI ni
Prisca Kishamba
Alex Lwambano
Mkazuzu

WACHAMBUZI
Shafii Dauda
Edgar Kibwana
Coutinho
Yahaya Njenge
Amri Kihemba
Privaldinho
Faram Kihamwe
Issa Marda
James Turpa Turpa

Kwa waongozaji sina neno nao sana wanajitahidi ingawaje Prisca anaoneka mweupe kiaina na Lwambano ni mswahili sana(anafurahisha) yaani huwa anawakilisha mawazo ya wale mashabiki wa kawaida kabisa kwa jinsi anayofanyaga assumptions zake

WACHAMBUZI
Privaldinho
Itoshe tu kusema hamna kitu pale zaidi ya kuremba remba sauti na ujuaji
Haka kajamaa bora kaende tu kwenye field yake ya sheria, huku miyeyusho sana

Coutinho
Huyu anaijua vizuri sana basketball na yuko vizuri kuichambua
Ni mmoja wa wachambuzi wa ki theory zaidi kuliko FACTS, anaonekana yupo vizuri ila anakuaga bias linapokuja swala la Liverpool

Edgar Kibwana
Mzee wa what a game, what a come back, what a goal[emoji23][emoji23]
Huyu bwana kwa kutaja kiufasaha majina ya vilabu haswa vya italiano mbona utampenda
Kiujumla ni mjanja mjanja flani hivi kwenye uchambuzi na ana vitakwimu fulani hivi

Yahya Njenge, Farahn Kihamwe na Issa Maeda
Hawani ni aina ya wachambuzi wa kujenga sana theory kuliko uhalisia
Wakianza porojo za kwa nini Simba haifungi yaani atatengeneza equation, formula, ikapanda ikashuka sijui mfumo tactical effect yaani blah blah mingiiiii

Amri Kiemba
Huyu ndio mtu pekee pale clouds media anajua kuchambua mpira wa miguu kwa FACTS au Professional opinion.
Ligi ya kibongo anachambua kwa fact haswa nakitaalamu bila kuvuta maneno mengii, anakua mtamu zaidi muongozaji akiwa Lwambano halafu aanze kumchagiza kuhusu ligi za bongo na figisu zake

Shaffi Dauda
Mzee wa controversial
Ujuaji mwingii
Anaweza akatoa mtazamo wake bongo nzima ikasimama kumjadili, akina Manara wataitisha hadi na media
anajitahidi kiasi chake

James Turpa Turpa[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni comedian
Kama unataka kupata habari za michezo kikomedi basi huyu jamaa atakufaa

Nini maoni yako?
Kule efm waongoza kipindi ndio vioja kweli kweli makelele mengi kuchekacheka ovyo wanazidiwa mno na wale wa wasafi fm wana utulivu mpaka unasema yes hapa kweli nasikiliza uchambuzi wa michezo
 
Kwa waongozaji:
1. Alex Lwambano (Clouds FM)
Jamaa anajua kuiteka hadhira. Huongea kwa lugha rahisi na uchagizaji wake huwakilisha maoni ya mashabiki wengi wa mpira. Namkubali sana.

2. Maulid Kitenge (E FM)
Mwamba anajua, ana vionjo vingi vya kumteka msikilizaji. Namkubali ila siku hizi kapungunza utulivu kidogo.

3. Tunu Hassan Shenkome ( E FM)
Mdada yuko vizuri, huleta mada flani tata ambapo akina Oscar huingia kichwakichwa! Namfananisha na Lwambano kwa clouds.

5. Prischa Kishamba (Clouds FM) .. wa kawaida.

6. Mwanaidi Suleiman (Wasaf FM)
Huyu amna kitu kabisa zaidi ya kuchekacheka.

7. Yusuf Mkule (Wasaf FM )
Anajitahidi ila bado ana mengi ya kujifunza, pia apunguze kumuiga Kitenge.
Ukimto Alex aluambano hapo hakuna wamaana hata mmoja wamaana.
 
Wanogeshaji.
1. Ricardo Momo - Wasaf Fm
Segment yake kwenye kipindi (Za Ndani) inavutia sana. Ni kama segment ya U Heard ya XXL

2. Mbwiga Mbwiguke
Sijui yu wapi ila kipindi yuko Clouds alitisha sana
Mbwiga yopo times fm
 
Aisee kuna jamaa wa RFA anaitwa Dickson Mpilipili nae anajitahidi kwakweli.

Privaldinho anapiga sana kelele redioni na hakuna cha maana anachoongea, ajikite kuandika "tetesi" zinamfaa sana, yaani apite mule kwa F.Romano, Micky Jnr, Nuhu Adams, atatoboa zaidi
Tetesi 😀😀😀😀🙌🙌
 
Hamna Kama Dr Rick , Ali Mayai na George
 
Ali Mayai, Ali Kamwe, George Ambangile na Edo kumwembe ndo wachambuzi pekee wa boli hapa Tanzania
 
Kuna makanjanja yako East Africa n utopolo mtupu yan wako Kama wavulana uchambuz wa wanaume Kama George ambangile na amrii kiemba tu
 
Wachambuzi Wa Tanzania Wengi sana Wanauwezo kiduchu;Sababu kubwa Elimu yetu(Mfumo wa elimu),Umaskini na kutokuwa najitahada binafsi za Mtu katika sekta anayoitumikia(kuifahamu vyema na kwa undani zaiidi).

Pitia Radio tofauti Marika vipindi vyao vya michezo ni Taabu.

Efm fm
Wasafi FM
Cloud's FM
Abood fm-iringa.
Standard redio-singida
Vot/Cg Fm-Tabora.
Kwizera-Kagera
Ebony FM- iringa
kiss FM
Rfa- Mwanza.

Hizo ni Baadhi ya radio kwa uchache nilizopata kuzisikiliza.

Kuna bwana mmoja aliivuruga punchline ya Beauty is in the eye's of the beholder"

Katika neno beauty akaweka smart/Inttelectual/intelligence.

Ukiwa umewapitia na kufunua mambo to fauti tofauti Utawaona wanasafari ndefu na kazi kubwa yakufanya hawa wachambuzi wetu.

MFano kama umepitia:-
The ball is Round by David goldblatt.
The Inverted Pyramid A historical soccer tactics by Jonathan Wilson.
iam zlatan by zlatan ibrahimovic.
Insinder the .mind of managers.
How football began by Phil Collins.
Another way of winning pep Guardiola.
Sir Alex Ferguson autobiography.
I think therefore I play.

bila kusahau documentary za football (Amozon) na kupitia forums za football man Quora,Redcafe Forums.

Pamoja na UWepo wa Internet bado wachambuzi wetu wanachechemea Sana.

Wajitahidi Kunoa vichwa vyao..

Mabidiliko huanza na fikra...wanaweza kuwa chachu kubwa ya kuliinua soka La bongo.
 
Tuwachambue wachambuzi wetu wa soka
Nasikia wanaingia sana JF kusikilizia pale tunapo wachambua na wao

Mimi naanza na wachambuzi wa Clouds Media haswa Sports Extra

WAONGOZAJI ni
Prisca Kishamba
Alex Lwambano
Mkazuzu

WACHAMBUZI
Shafii Dauda
Edgar Kibwana
Coutinho
Yahaya Njenge
Amri Kihemba
Privaldinho
Faram Kihamwe
Issa Marda
James Turpa Turpa

RIPOTA
Mkomwa

Kwa waongozaji sina neno nao sana wanajitahidi ingawaje Prisca anaoneka mweupe kiaina na Lwambano ni mswahili sana(anafurahisha) yaani huwa anawakilisha mawazo ya wale mashabiki wa kawaida kabisa kwa jinsi anayofanyaga assumptions zake

WACHAMBUZI
Privaldinho
Itoshe tu kusema hamna kitu pale zaidi ya kuremba remba sauti na ujuaji
Haka kajamaa bora kaende tu kwenye field yake ya sheria, huku miyeyusho sana

Coutinho
Huyu anaijua vizuri sana basketball na yuko vizuri kuichambua
Ni mmoja wa wachambuzi wa ki theory zaidi kuliko FACTS, anaonekana yupo vizuri ila anakuaga bias linapokuja swala la Liverpool

Edgar Kibwana
Mzee wa what a game, what a come back, what a goal[emoji23][emoji23]
Huyu bwana kwa kutaja kiufasaha majina ya vilabu haswa vya italiano mbona utampenda
Kiujumla ni mjanja mjanja flani hivi kwenye uchambuzi na ana vitakwimu fulani hivi

Yahya Njenge, Farahn Kihamwe na Issa Maeda
Hawani ni aina ya wachambuzi wa kujenga sana theory kuliko uhalisia
Wakianza porojo za kwa nini Simba haifungi yaani atatengeneza equation, formula, ikapanda ikashuka sijui mfumo tactical effect yaani blah blah mingiiiii

Amri Kiemba
Huyu ndio mtu pekee pale clouds media anajua kuchambua mpira wa miguu kwa FACTS au Professional opinion.
Ligi ya kibongo anachambua kwa fact haswa nakitaalamu bila kuvuta maneno mengii, anakua mtamu zaidi muongozaji akiwa Lwambano halafu aanze kumchagiza kuhusu ligi za bongo na figisu zake

Shaffi Dauda
Mzee wa controversial
Ujuaji mwingii
Anaweza akatoa mtazamo wake bongo nzima ikasimama kumjadili, akina Manara wataitisha hadi na media
anajitahidi kiasi chake

James Turpa Turpa[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni comedian
Kama unataka kupata habari za michezo kikomedi basi huyu jamaa atakufaa

Mkomwa
Huyu mshkaji ni ripota mzuri sana kwenye vijiwe vya maahabiki na wauza magazeti

Nini maoni yako?
Wachambuzi hamna bali michongo wanapeana tu huko sababu wanajuana, Tanzania tuna wachezaji kibao waliocheza ligi kuu wamestaafu, ila hapewi kazi za uchambuzi,nilipo choka zaidi mpaka Salama Jabir nae alikuwa mchambuzi AFCON. Hii inchi kama huna connection kutoka utachelewa sana.

Mimi mechi za VPL mara nyingi half time na badilishaga channel.
 
Tuwachambue wachambuzi wetu wa soka
Nasikia wanaingia sana JF kusikilizia pale tunapo wachambua na wao

Mimi naanza na wachambuzi wa Clouds Media haswa Sports Extra

WAONGOZAJI ni
Prisca Kishamba
Alex Lwambano
Mkazuzu

WACHAMBUZI
Shafii Dauda
Edgar Kibwana
Coutinho
Yahaya Njenge
Amri Kihemba
Privaldinho
Faram Kihamwe
Issa Marda
James Turpa Turpa

RIPOTA
Mkomwa

Kwa waongozaji sina neno nao sana wanajitahidi ingawaje Prisca anaoneka mweupe kiaina na Lwambano ni mswahili sana(anafurahisha) yaani huwa anawakilisha mawazo ya wale mashabiki wa kawaida kabisa kwa jinsi anayofanyaga assumptions zake

WACHAMBUZI
Privaldinho
Itoshe tu kusema hamna kitu pale zaidi ya kuremba remba sauti na ujuaji
Haka kajamaa bora kaende tu kwenye field yake ya sheria, huku miyeyusho sana

Coutinho
Huyu anaijua vizuri sana basketball na yuko vizuri kuichambua
Ni mmoja wa wachambuzi wa ki theory zaidi kuliko FACTS, anaonekana yupo vizuri ila anakuaga bias linapokuja swala la Liverpool

Edgar Kibwana
Mzee wa what a game, what a come back, what a goal[emoji23][emoji23]
Huyu bwana kwa kutaja kiufasaha majina ya vilabu haswa vya italiano mbona utampenda
Kiujumla ni mjanja mjanja flani hivi kwenye uchambuzi na ana vitakwimu fulani hivi

Yahya Njenge, Farahn Kihamwe na Issa Maeda
Hawani ni aina ya wachambuzi wa kujenga sana theory kuliko uhalisia
Wakianza porojo za kwa nini Simba haifungi yaani atatengeneza equation, formula, ikapanda ikashuka sijui mfumo tactical effect yaani blah blah mingiiiii

Amri Kiemba
Huyu ndio mtu pekee pale clouds media anajua kuchambua mpira wa miguu kwa FACTS au Professional opinion.
Ligi ya kibongo anachambua kwa fact haswa nakitaalamu bila kuvuta maneno mengii, anakua mtamu zaidi muongozaji akiwa Lwambano halafu aanze kumchagiza kuhusu ligi za bongo na figisu zake

Shaffi Dauda
Mzee wa controversial
Ujuaji mwingii
Anaweza akatoa mtazamo wake bongo nzima ikasimama kumjadili, akina Manara wataitisha hadi na media
anajitahidi kiasi chake

James Turpa Turpa[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni comedian
Kama unataka kupata habari za michezo kikomedi basi huyu jamaa atakufaa

Mkomwa
Huyu mshkaji ni ripota mzuri sana kwenye vijiwe vya maahabiki na wauza magazeti

Nini maoni yako?
Amri kiemba muda wote ni kucheka cheka tu.wachambuzi wengi uliowataja hawajui kabisa kutamka majina ya timu au wachezaji,hasa kutoka ujerumani,spain au italy.shafi dauda ni zuzu wa hali ya juu,ni wale ambao kwa kswahili tunawaita debe tupu hutoa kelele nyingi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Tuwachambue wachambuzi wetu wa soka
Nasikia wanaingia sana JF kusikilizia pale tunapo wachambua na wao

Mimi naanza na wachambuzi wa Clouds Media haswa Sports Extra

WAONGOZAJI ni
Prisca Kishamba
Alex Lwambano
Mkazuzu

WACHAMBUZI
Shafii Dauda
Edgar Kibwana
Coutinho
Yahaya Njenge
Amri Kihemba
Privaldinho
Faram Kihamwe
Issa Marda
James Turpa Turpa

RIPOTA
Mkomwa

Kwa waongozaji sina neno nao sana wanajitahidi ingawaje Prisca anaoneka mweupe kiaina na Lwambano ni mswahili sana(anafurahisha) yaani huwa anawakilisha mawazo ya wale mashabiki wa kawaida kabisa kwa jinsi anayofanyaga assumptions zake

WACHAMBUZI
Privaldinho
Itoshe tu kusema hamna kitu pale zaidi ya kuremba remba sauti na ujuaji
Haka kajamaa bora kaende tu kwenye field yake ya sheria, huku miyeyusho sana

Coutinho
Huyu anaijua vizuri sana basketball na yuko vizuri kuichambua
Ni mmoja wa wachambuzi wa ki theory zaidi kuliko FACTS, anaonekana yupo vizuri ila anakuaga bias linapokuja swala la Liverpool

Edgar Kibwana
Mzee wa what a game, what a come back, what a goal[emoji23][emoji23]
Huyu bwana kwa kutaja kiufasaha majina ya vilabu haswa vya italiano mbona utampenda
Kiujumla ni mjanja mjanja flani hivi kwenye uchambuzi na ana vitakwimu fulani hivi

Yahya Njenge, Farahn Kihamwe na Issa Maeda
Hawani ni aina ya wachambuzi wa kujenga sana theory kuliko uhalisia
Wakianza porojo za kwa nini Simba haifungi yaani atatengeneza equation, formula, ikapanda ikashuka sijui mfumo tactical effect yaani blah blah mingiiiii

Amri Kiemba
Huyu ndio mtu pekee pale clouds media anajua kuchambua mpira wa miguu kwa FACTS au Professional opinion.
Ligi ya kibongo anachambua kwa fact haswa nakitaalamu bila kuvuta maneno mengii, anakua mtamu zaidi muongozaji akiwa Lwambano halafu aanze kumchagiza kuhusu ligi za bongo na figisu zake

Shaffi Dauda
Mzee wa controversial
Ujuaji mwingii
Anaweza akatoa mtazamo wake bongo nzima ikasimama kumjadili, akina Manara wataitisha hadi na media
anajitahidi kiasi chake

James Turpa Turpa[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni comedian
Kama unataka kupata habari za michezo kikomedi basi huyu jamaa atakufaa

Mkomwa
Huyu mshkaji ni ripota mzuri sana kwenye vijiwe vya maahabiki na wauza magazeti

Nini maoni yako?
Kwa Shafii Dauda toa huo mstari wa mwisho unamkweza bure. Huyo si Mchambuzi ni mshangiliaji Tu hata ushabiki hawezi.
 
Back
Top Bottom