Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwasababu za ujinga wenu mnaharibu majina ya watu kipumbavu. Mzazi aliyempa mwanawe jina alimaanisha hivyo na ana maana yake. Mpumbav mmoja anataka kubadilisha jina la mtu eti kwasababu zake. Kama mtu anaitwa Joyce usibadilishe kuwa joce kwa sababu zako.Acha kuwaza ujinga
Unauhakika lina maana yake? wazazi wengiwametupa majina kwa ssbabu yapo duniani tuu, mfano jina langu halina maana yoyote sababu lipo tuu duniani.kwasababu za ujinga wenu mnaharibu majina ya watu kipumbavu. Mzazi aliyempa mwanawe jina alimaanisha hivyo na ana maana yake. Mpumbav mmoja anataka kubadilisha jina la mtu eti kwasababu zake. Kama mtu anaitwa Joyce usibadilishe kuwa joce kwa sababu zako.
Ona hili punguani, hayawani, mbwa kuchoka, zezeta sijui limeandika niniEwe mpumbavu sikia nikuambie, hata wangemuita lucy, haiwezi katu kubadilisha kiwango chake cha kucheza mpira..yeye ataendelea kucheza simba kwa mafanikio, pesa na bonus zinaingia, ila wewe maskin wa buguruni utaendelea kumdhihaki huku ukiendelea kua maskin
Kwao wapi mkuuKwao anaitwa DEBORA..
Huu ujinga WA Debra hata mwenyewe anashangaa!
Usione kinyaa Mzee, kwao iko poa tu, Jina halibadiliki!
Uliwahi. Kuleta mada kujadili jina la Joyce Lomalisa.Kwani kuna shida gani katika kutamka DEBORA na DEBRA? Mchezaji wa Simba, Fenandez anaitwa Debora au Debra? Tamkeni inavyotakiwa majina ya watu, hizo nyingine ni shida zenu.
Kama lako halina maana ni wewe, lakini majina mengine yana maana na sababu. Jina kama kavulata, andambwile, masalakulangwa, happy, Amiri, goodluck nk yana maanda. Tamka jina kama lilivyo. Kwanini Deborah uliite Debrah, hiyo O kwenye BO umeiacha wapi?Unauhakika lina maana yake? wazazi wengiwametupa majina kwa ssbabu yapo duniani tuu, mfano jina langu halina maana yoyote sababu lipo tuu duniani.
Mwingine ni Debora kama unabisha tafuta kijiwe cha kahawa karibu
Hayo ni maoni yako tu, jina lake ni Debora Fernandez.... sisi hatujasajili mama yake.Itakua ni Debora hivyo hivyo,ila la mama yake ,alafu linalofuata ndio lake,kuna makabila bado wanatumia majina ya mama
Kwa mashuti yale ya Ferdinandes lazima muanze kushikwa kiwewe kama hiki. Debora Mavambo ni Mwambaaa haswaaa mwana ukome za kutosha, ile ya Kibu cha mtoto. Mwaka huu mdaka mishale atabong'oa sana tu mjipangeKwani kuna shida gani katika kutamka DEBORA na DEBRA? Mchezaji wa Simba, Fenandez anaitwa Debora au Debra? Tamkeni inavyotakiwa majina ya watu, hizo nyingine ni shida zenu.
kwasababu anaitwa DebrahKama lako halina maana ni wewe, lakini majina mengine yana maana na sababu. Jina kama kavulata, andambwile, masalakulangwa, happy, Amiri, goodluck nk yana maanda. Tamka jina kama lilivyo. Kwanini Deborah uliite Debrah, hiyo O kwenye BO umeiacha wapi?
Huu utetezi unanikumbusha misimu miwili iliyopita baada ya Joyce Lomalisa kusajiliwa! Mashabiki wa simba mlimkejeli sana kwa kumuita dada Joyce!! Sasa na nyinyi mnapitia njia ile ile kwa huyu mchezaji wenu Debora Fernandes.Ewe mpumbavu sikia nikuambie, hata wangemuita lucy, haiwezi katu kubadilisha kiwango chake cha kucheza mpira..yeye ataendelea kucheza simba kwa mafanikio, pesa na bonus zinaingia, ila wewe maskin wa buguruni utaendelea kumdhihaki huku ukiendelea kua maskin