Wachambuzi tofautisheni kati ya DEBORA na DEBRA, msichafue majina ya watu.

Wachambuzi tofautisheni kati ya DEBORA na DEBRA, msichafue majina ya watu.

Kwa mashuti yale ya Ferdinandes lazima muanze kushikwa kiwewe kama hiki. Debora Mavambo ni Mwambaaa haswaaa mwana ukome za kutosha, ile ya Kibu cha mtoto. Mwaka huu mdaka mishale atabong'oa sana tu mjipange
Hata Mkude na Balama waliwahi kubahatisha kupiga mashuti kama yale lakini hakuna aliyepiga Tena shuti kama lile akafuga goli. Debora hataweza kupiga Tena shuti kama lile likawa goli.
 
Huu utetezi unanikumbusha misimu miwili iliyopita baada ya Joyce Lomalisa kusajiliwa! Mashabiki wa simba mlimkejeli sana kwa kumuita dada Joyce!! Sasa na nyinyi mnapitia njia ile ile kwa huyu mchezaji wenu Debora Fernandes.

Yaani ni ubaya ubwela! 😁
Malipo ni hapahapa kaka Debora aitwe de-bo-rah
 
Hayo ni maoni yako tu, jina lake ni Debora Fernandez.... sisi hatujasajili mama yake.
Wachambuzi wapuuzi wamenasa kwenye mtego wa Ahmed Ally, eti Debra, shame on you!!
 
.
 

Attachments

  • FB_IMG_1722881815366.jpg
    FB_IMG_1722881815366.jpg
    56.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom