Wachambuzi tofautisheni kati ya DEBORA na DEBRA, msichafue majina ya watu.

Unauhakika lina maana yake? wazazi wengiwametupa majina kwa ssbabu yapo duniani tuu, mfano jina langu halina maana yoyote sababu lipo tuu duniani.
Mwingine ni Debora kama unabisha tafuta kijiwe cha kahawa karibu
 
Ewe mpumbavu sikia nikuambie, hata wangemuita lucy, haiwezi katu kubadilisha kiwango chake cha kucheza mpira..yeye ataendelea kucheza simba kwa mafanikio, pesa na bonus zinaingia, ila wewe maskin wa buguruni utaendelea kumdhihaki huku ukiendelea kua maskin
 
Ona hili punguani, hayawani, mbwa kuchoka, zezeta sijui limeandika nini
 
Unauhakika lina maana yake? wazazi wengiwametupa majina kwa ssbabu yapo duniani tuu, mfano jina langu halina maana yoyote sababu lipo tuu duniani.
Mwingine ni Debora kama unabisha tafuta kijiwe cha kahawa karibu
Kama lako halina maana ni wewe, lakini majina mengine yana maana na sababu. Jina kama kavulata, andambwile, masalakulangwa, happy, Amiri, goodluck nk yana maanda. Tamka jina kama lilivyo. Kwanini Deborah uliite Debrah, hiyo O kwenye BO umeiacha wapi?
 
Itakua ni Debora hivyo hivyo,ila la mama yake ,alafu linalofuata ndio lake,kuna makabila bado wanatumia majina ya mama
Hayo ni maoni yako tu, jina lake ni Debora Fernandez.... sisi hatujasajili mama yake.
 
Kwani kuna shida gani katika kutamka DEBORA na DEBRA? Mchezaji wa Simba, Fenandez anaitwa Debora au Debra? Tamkeni inavyotakiwa majina ya watu, hizo nyingine ni shida zenu.
Kwa mashuti yale ya Ferdinandes lazima muanze kushikwa kiwewe kama hiki. Debora Mavambo ni Mwambaaa haswaaa mwana ukome za kutosha, ile ya Kibu cha mtoto. Mwaka huu mdaka mishale atabong'oa sana tu mjipange
 
Kama lako halina maana ni wewe, lakini majina mengine yana maana na sababu. Jina kama kavulata, andambwile, masalakulangwa, happy, Amiri, goodluck nk yana maanda. Tamka jina kama lilivyo. Kwanini Deborah uliite Debrah, hiyo O kwenye BO umeiacha wapi?
kwasababu anaitwa Debrah
 
Huu utetezi unanikumbusha misimu miwili iliyopita baada ya Joyce Lomalisa kusajiliwa! Mashabiki wa simba mlimkejeli sana kwa kumuita dada Joyce!! Sasa na nyinyi mnapitia njia ile ile kwa huyu mchezaji wenu Debora Fernandes.

Yaani ni ubaya ubwela! 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…