Wachambuzi tofautisheni kati ya DEBORA na DEBRA, msichafue majina ya watu.

Kwa mashuti yale ya Ferdinandes lazima muanze kushikwa kiwewe kama hiki. Debora Mavambo ni Mwambaaa haswaaa mwana ukome za kutosha, ile ya Kibu cha mtoto. Mwaka huu mdaka mishale atabong'oa sana tu mjipange
Hata Mkude na Balama waliwahi kubahatisha kupiga mashuti kama yale lakini hakuna aliyepiga Tena shuti kama lile akafuga goli. Debora hataweza kupiga Tena shuti kama lile likawa goli.
 
Malipo ni hapahapa kaka Debora aitwe de-bo-rah
 
Hayo ni maoni yako tu, jina lake ni Debora Fernandez.... sisi hatujasajili mama yake.
Wachambuzi wapuuzi wamenasa kwenye mtego wa Ahmed Ally, eti Debra, shame on you!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…